Mwacheni lowasa apumzike kwa starehe. Ni mchapa kazi. Kila mtu anajua hilo.
wa sasa hivi naona kwake huu ni MSAMIATI
hataweza mikiki mikiki ya 2015 na kiharusi chake!
kama ambavyo JK hakukubali kushindwa hata huyu hatakubali, anaweza kuingia msituni...........Hakuna anaelikubali hilo ingawa wanajuwa kuwa Rais huwa ni mmoja tu.Tumeshawasikia wengi wakilitaka hilo juu ya kuwa walishindwa huko nyuma na wengine mara kadhaa tu.
Count on me, NO ONE CAN STOP EL.Ushindi huhisabiwa mwishoni mwa mchezo lakini raha ya mchezo ni kipindi chote cha mchezo! Mwachieni nae ajisikie raha ya kugombania hata akishindwa huko mbeleni.
Tuache utani, huyu jamaa anatisha ndani ya CCM. Simply unstoppable,,,,
Only Dr Slaa can stop this great CCM man from becoming the next president
Ndio maana yake. If you can't beat me join me!dau lake linaeleweka na linakotoka linafahamika pia......chezea mtandao wa nipe nikupe wewe
kama ambavyo JK hakukubali kushindwa hata huyu hatakubali, anaweza kuingia msituni...........
....hata mtabiri amethibitisha, unless ajigeuze jinsi yake awe mwanamkeit seems that you're one among of those people who shall be eating their words bcause the guy is unfortunately and unluckly westing his time and mones for sure, i can bet my life on this!
umenikumbusha hili zindiko dovutwa