Maana za ID zetu humu JF

Maana za ID zetu humu JF

Jamani kingreza jamani mnatutenga sie wengine tuko Zimbabwe ya Zanzibar kingreza hakijafika huku!

Ha ha ha ha ha ha ha!! sasa mbona una jina la kidhungu kama ni hivyo? We Judgement mchokozi sana.
 
Last edited by a moderator:
jina la ID yangu lajieleza waziii kabisa, kwa maelezo zaidi angalia na kapicha ka avatar.
 
Back
Top Bottom