Maana ya redio ni nini?

Queen Priya

Senior Member
Jul 15, 2018
100
97
Habari wanajamii forum!
Tafadhali naomba tafsiri sahihi ya redio jamii. Tofauti yake na redio nyingine ni ipi?
 
Redio ni kifaa cha umeme cha nyumbani kinachopokea mawimbi ya sauti kutoka kituo cha redio(Radio station)
 
Back
Top Bottom