MAANA YA POLICE WA LEO.

AL SADY OLPLANER

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
294
250

Maana ya neno police kwa kiswahili wanasema askali maana ya askali nin HAKUNA.
Katika pita zangu nikakutana mzee mmoja hivi nikamuuliza maana ya police akasema "Wakati wa ukoloni vijana wa mitaani waliokuwa wavuta bangi na wahuni wasioenda shule na waliopungua frani kichwani hivi walichukuliwa na kupelkwa kupata nafunzo ya upolice wakawa wanafurahi sana na wanapenda kazi hiyo wakoloni walifanya hivi kwasababu WAKIWACHUKUA HAWA VIJANA WALIOPUNGUKIWA AKILI KAZI YA ITAFANYIKA KWA UFANISI yaani wakitumwa kazi nenda kapige watu frani au kauwe akina frani au kamteke mtu frani kwa akili zao hao walikwenda nakutenda hivyo hivyo ....na hata sasa hivi kinachoendelea ndio hicho .
WAKOLONI na hata mwanzoni mwa miaka ya 1960 jambo hilo liliendelea kufanyika na wakoloni hawa hawa waliofia kuwachukua WASOMI maana mtu akiwa msomi hawazi fanya jambo bila kuwa nalo makini kwanza atauliza nikauwe au nikamteke frani kosa lao nini na wamefanya nini ..KWA KULIONA HILO WAKAONA WASICHUKUA WASOMI WATASUMBUANA KATIKA MISHE ZAO .
Mzee akazidi kusema unaona police miaka ya 1990-2010 ni wale wale four 26 au wale stnd 7...ndio maana unawaona hawa police mengine wanafanyaa si kiubinadamu kutokana VILAZA KAMA WALE WA JK UDOM ..
NILIACHAA KUMUOJI NIKASEPA ZANGU ..COZ BABA YANGU NI POLICE sasa sijui nifanyaje .
TATIZO NI UPOLICE .
Nimewasilisha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom