mitindo huru JF-Expert Member Joined Apr 26, 2016 Posts 1,610 Reaction score 1,602 Sep 4, 2017 #21 Extrovert said: Mfawidhi~~Senior Click to expand... Senior = Mwandamizi Sent using Jamii Forums mobile app
Extrovert said: Mfawidhi~~Senior Click to expand... Senior = Mwandamizi Sent using Jamii Forums mobile app
mitindo huru JF-Expert Member Joined Apr 26, 2016 Posts 1,610 Reaction score 1,602 Sep 4, 2017 #22 jp morgan said: Mfawidhi ni mtu wa cheo cha juu "supervisor" ama "incharge"na aghalabu hutumika katika kada za afya na mahakama... Click to expand... Supervisor = msimamizi Sent using Jamii Forums mobile app
jp morgan said: Mfawidhi ni mtu wa cheo cha juu "supervisor" ama "incharge"na aghalabu hutumika katika kada za afya na mahakama... Click to expand... Supervisor = msimamizi Sent using Jamii Forums mobile app
O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,395 Sep 4, 2017 #23 Mkuu wa kituo cha Polisi naye ni Mfawidhi? Mwalimu mkuu naye ni mfawidhi? Kwa nini itumike kwenye mahakama na hospitali tu? Nahisi ina maana zaidi ya hizo wadau mmetaja
Mkuu wa kituo cha Polisi naye ni Mfawidhi? Mwalimu mkuu naye ni mfawidhi? Kwa nini itumike kwenye mahakama na hospitali tu? Nahisi ina maana zaidi ya hizo wadau mmetaja
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,287 Reaction score 72,516 Sep 4, 2017 #24 greatness said: OK VP hakimu mkazi ni nini nayo Click to expand... Hiyo siijui kiundani mkuu
MOI JOHN JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 1,735 Reaction score 1,085 Sep 5, 2017 #25 NDULUMESO said: MFAWIDHI: Ni mtu aliyepewa mamlaka ya kuongoza Idara au Kituo Click to expand... Mwenye KAMUSI utamjua tu.
NDULUMESO said: MFAWIDHI: Ni mtu aliyepewa mamlaka ya kuongoza Idara au Kituo Click to expand... Mwenye KAMUSI utamjua tu.