mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,601
Supervisor = msimamiziMfawidhi ni mtu wa cheo cha juu "supervisor" ama "incharge"na aghalabu hutumika katika kada za afya na mahakama...
Hiyo siijui kiundani mkuuOK VP hakimu mkazi ni nini nayo
Mwenye KAMUSI utamjua tu.MFAWIDHI: Ni mtu aliyepewa mamlaka ya kuongoza Idara au Kituo