kali popote
JF-Expert Member
- May 3, 2017
- 394
- 282
Ahsante mkuuAliyepewa mamlaka ya kuwaongoza wengine wenye taaluma/fani kama yake..incharge...senior
Poa poaAhsante mkuu
Upo sahihi kabisaKiongozi wa Ofisi hiyo.(In-charge).
Yeye ndo Boss kubwa eg Jaji Mfawidhi yeye ndo Boss wa Mahakama Kanda nzima, Hakimu Mkazi Mfawidhi etc
Umenitoa na mimi tongotongo hapo.Aliyepewa mamlaka ya kuwaongoza wengine wenye taaluma/fani kama yake..incharge...senior
sawa mkuuUmenitoa na mimi tongotongo hapo.
Second master ni makamu.Kwa hyo second master wa shule naye ni mfawidhi
Mfawidhi ni mtu wa cheo cha juu "supervisor" ama "incharge"na aghalabu hutumika katika kada za afya na mahakama...Mfawidhi~~Senior
Je hawa waganga wa kienyeji na tiba asili za miti shamba nao pia wanae MFAwidhi wao?Mfawidhi ni mtu wa cheo cha juu "supervisor" ama "incharge"na aghalabu hutumika katika kada za afya na mahakama...
Hapana wao sio ni wale tu wenye nyadhifa za kitaaluma ndo huwa wafawidhi kwa ajili ya kuwaongoza wengine wenye taaluma kama yakeJe hawa waganga wa kienyeji na tiba asili za miti shamba nao pia wanae MFAwidhi wao?
OK VP hakimu mkazi ni nini nayoAliyepewa mamlaka ya kuwaongoza wengine wenye taaluma/fani kama yake..incharge...senior