kali popote
JF-Expert Member
- May 3, 2017
- 394
- 282
Poleni na mihangaiko ya kutwa wana JF,
Naombeni mnisaidie maana ya neno mfawidhi.
Huwa lina maana gani maana huwa nakutana nalo sana hospitalini chumba kimeandikwa mganga mfawidhi pia mahakamani hakimu mfawidhi
Nawasilisha