Maana ya neno kuraghibisha

WABALLA Inc

JF-Expert Member
Sep 2, 2014
2,711
1,015
Habari wakuu?

Naomba kujuzwa maana ya neno KURAGHIBISHA nimekutana nalo sehemu katika sentensi "Kuraghibisha na kuboresha"
 
Ndio ndio umesomeka vyema maana ya hilo neno ni "kukashifu" na kama kuna neno lingine usisite kuniuliza nipo hapa kwa ajiri ya kuelimisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom