Maana ya msemo wa "kinyume na maumbile

Maana ya msemo wa "kinyume na maumbile

Mwanapropaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
4,235
Reaction score
2,512
Huo msemo umekuwa ukitumika kuelezea hasa mapenzi yanayofanywa kwa kutumia njia ya haja kubwa tu kana kwamba maana yake imeishia hapo.

Kila mtu anajua kazi ya kiungo kilichopo mwilini mwake. Kwamba pua inatumika kuingiza na kutoa hewa ndani ya mwili, kinywa ni kwa ajili ya kupitishia chakula, midomo ni kwa ajili ya kurahisisha mawasiliano, masikio kwa ajili ya kusikia, macho kwa ajili ya kuona, miguu kutembea, mikono&vidole kushika nk.

Kila kiungo kwenye mwili wa binadamu kipo kwa kazi fulani kama nilivyotangulia kusema hapo juu. Matumizi yoyote ya viungo pasipo kuzingatia asili/sababu ya kuwepo kwake ndio humaanisha "kinyume na maumbile". Je! Unatumiaje viungo vyako vya mwili?
 
Akil yako inashida....mfano watu wasiokuwa na mikono wanakula kwa kutumia miguu wanakula kinyume na maumbile? Ngono pekee inafanya viitwe vimetumika kinyume na maumbile.
Kwa mfano, hao wanafanya ngono kwa kupitia haja kubwa maana yake hawana uke?
 
Hakuna maumbile yaliyowekwa bahati mbaya,labda tuite matumizi mbadala ya maumbile,ni sawa na kukuta barabara ya lami haipitiki na kuamua kuchepukia pembeni huwezi kusema umepita kinyume na barabara!
 
Ushasema hana mikono sasa afanyeje??? Kwan hao hawana Vagina?
Kuna mwingine ni mwanaume na ana homoni nyingi za kike na hana nguvu za kiume,kwahyo akitumia mkundu kujamiana anakuwa hajatumia kinyume na maumbile kwasababu hana nguvu za kiume
 
Huo msemo umekuwa ukitumika kuelezea hasa mapenzi yanayofanywa kwa kutumia njia ya haja kubwa tu kana kwamba maana yake imeishia hapo.

Kila mtu anajua kazi ya kiungo kilichopo mwilini mwake. Kwamba pua inatumika kuingiza na kutoa hewa ndani ya mwili, kinywa ni kwa ajili ya kupitishia chakula, midomo ni kwa ajili ya kurahisisha mawasiliano, masikio kwa ajili ya kusikia, macho kwa ajili ya kuona, miguu kutembea, mikono&vidole kushika nk.

Kila kiungo kwenye mwili wa binadamu kipo kwa kazi fulani kama nilivyotangulia kusema hapo juu. Matumizi yoyote ya viungo pasipo kuzingatia asili/sababu ya kuwepo kwake ndio humaanisha "kinyume na maumbile". Je! Unatumiaje viungo vyako vya mwili?
Rudi darasani kwa mwalimu wa kiswahili akakufundishe nini maana ya neno tasifida. au tembelea hapa Tasifida - Mwanagenzi Mtafiti
 
Akil yako inashida....mfano watu wasiokuwa na mikono wanakula kwa kutumia miguu wanakula kinyume na maumbile? Ngono pekee inafanya viitwe vimetumika kinyume na maumbile.
hahahahahhaha wanakula kinyume na maumbile
 
Kila kiungo kwenye mwili wa binadamu kipo kwa kazi fulani kama nilivyotangulia kusema hapo juu. Matumizi yoyote ya viungo pasipo kuzingatia asili/sababu ya kuwepo kwake ndio humaanisha "kinyume na maumbile". Je! Unatumiaje viungo vyako vya mwili?
huu uzi umekaa ''kijukwaa la lugha '' zaidi............Huku hata BAKITA hawapiti.Anyway kama si msamiati,basi ni nahau...........(Ni mtazamo wangu tu)
 
Back
Top Bottom