Maana ya maneno JF na waanzilishi wake

kinjekitile70

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
1,072
1,421
wakuu, tokea numeingia humu ndani nimekutana na maneno mengi ambayo huko duniani hayapo, naamini kilq memba mpya atakuwa anapitiaa changamoto mpyaa piaaa....
maneno hayo ni

P. P. P
WANAKUJA
MKUU/WAKUU
PM
MODS
JUMANNEPONDAMALI
KITUO CHA MAWINGU

Na mengine mengi, na waanzilishii wake wakuu....
 
Hii tutorial imetengenezwa na bwana mmoja anaitwa sultan seifu fake newz†
 
Back
Top Bottom