maana ya maneno haya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maana ya maneno haya

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Kuku wa Kabanga, Mar 14, 2012.

 1. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  naomba maana ya haya maneno,tabahari,bubwi,zikua na tobwe.Halafu napenda kujua yafuatayo,wema kwa lugha ya kishairi unaitwaje?,kitabu kilichopigwa chapa,Kibuyu cha kutengenezea siagi,pembe ya ndovu inayokua.
   
Loading...