Maana ya Man United!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Mchungaji alikuwa akifungisha ndoa kati ya mashoga wawili.Akashindwa kuamua nani aitwe mke na nani mume.Baada ya kutafakari kwa muda,mchungaji akasema;Man and Man,i now pronounce you Man United!
 
jamani hata leo bado hamjai kiingereza? Hao mafirauni ni MEN UNITED na sisi ni MAN UTD hamuoni tofauti, au ndo mnatafuta majungu tuu?
 
hahhahah me nawashangaa sana hawa washika Gobole Arsenal, badala ya kutafakari nane nane yao wao wamehama club na kujiunga na Man City? Poa karibuni nyumbani Manchester
 
Mbona ninyi hata tufungwe na blackburns mnashika kipaza sauti,kwani ninyi blackburn?
 
jamani hata leo bado hamjai kiingereza? Hao mafirauni ni MEN UNITED na sisi ni MAN UTD hamuoni tofauti, au ndo mnatafuta majungu tuu?
Hili sio jukwaa la education,science&technology ni jukwaa la jokes&gossips.
 
jamani hata leo bado hamjai kiingereza? Hao mafirauni ni MEN UNITED na sisi ni MAN UTD hamuoni tofauti, au ndo mnatafuta majungu tuu?

warren acha bange asiyejua kiingereza ni huyo mchungaji Jaguar alikua ananukuhu tu
 
Mchungaji alikuwa akifungisha ndoa kati ya mashoga wawili.Akashindwa kuamua nani aitwe mke na nani mume.Baada ya kutafakari kwa muda,mchungaji akasema;Man and Man,i now pronounce you Man United!

wapakatwaji wote hamna jipya lolote magasho 2
 
Man U na Man city ni ki2 kimoja ila wa2 wanakosea kutamka. Inatakiwa waseme Man limited na siyo united kwan wao basi lao hukalia city ndiyo maana ikatokea Man city.
 
Back
Top Bottom