Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,227
- 1,389
Wapendwa wakati wa hii wkend ndefu nilisoma bible kidogo nimekutana na ule mstari unaosema enyi waume ishini na wake zenu kwa akili maana yake nini na akili inakaa wapi ?maana kuna mstari nyingine inasema ukizini huna akili ,naomba tuelimishane jamani