kiloK kirefu chake n nn?
15,000Hata Kadogo ya Ally Kiba mpaka sasa ina 15K likes kule youtube sa sijui ndo ngapi hiyo
Well explained...K = 1000, kwa hiyo100k ni sawaswa na 100 ×1000 =100,000 hance 100k = laki moja
Kilo inahusikaje kwa mambo ya fedha ambayo hayapimwi kwa kilo?
Hiyo kwenye pesa sio official... ndo maana huwezi kukuta bank zinaandika hivyo....Hyo ya pesa ndio kilo nn sasa?