Secretary General
Member
- Jan 10, 2012
- 63
- 26
Maana isiyo rasimi ya jina Tibaijuka kwa kihaya ni "watu hawakumbuki".
Naomba kujuzwa maana ya jina Tibaijuka kwa ndugu zangu wahaya. Nikijaribu kufanya direct translation naona kama ni "mtanikumbuka" ;kama ni kweli hiyo ndio maana yake, tutamkumbuka kwa lipi huyu mama msomi na profesa.
Tupitie utumishi wake wa ndani na nje ya nchi.
Nawasilisha.
ukumbuke unayemzungumzia ni Anna na si Mume wake ambaye ndie haswa mwenye hilo jina... Hayo Majina ya kina Tiba yapo mengi sana kule Rwanda... Tibantunganya tiba vitu kibao tu yaani yawezekana huyo mama mumewe ni wa kule
Tibaijuka= hawakumbuki
Kagemulo= Zawadi
Kemilembe= ka neema yaani mtoto wa neema
Muganyizi= mwenye huruma
1. Umechanganya madesa, Rwanda kuna Ntibantunganya sio tibantunganya!
2. Sio ajabu kwa lugha kufanana historically Rwanda na Burundi zilikuwa sehemu ya Tanzania, hivyo unavyosema inawezekana mumewe ni wa kule, huko nako kuna mtu anaambiwa "wewe ni wa kule"...
Uko sahihi sana mkuu. Na Atugonza ni Anatupenda.
Ova
Huelewi kitu wewe hayo Majina ni kutokana na maeneo watu wanavyoishi huchange kidogo ila maana hubakia ile ile... ni Sawa na Msukuma na Mnyamwezi lugha ni ile ile maneno yamechange kidogo sana ila kuelewana ni mwanzo mwisho... ndio maana kuna majina kama vile Benjamin,Benyamin ni kitu ile ile tu ukija kama jina la Peter ni English,Swahili ni Pita,Kifaransa ni Piere,Kispanish ni Pedro... So hakuna Madesa kwangu
1. Umechanganya madesa, Rwanda kuna Ntibantunganya sio tibantunganya!
2. Sio ajabu kwa lugha kufanana historically Rwanda na Burundi zilikuwa sehemu ya Tanzania, hivyo unavyosema inawezekana mumewe ni wa kule, huko nako kuna mtu anaambiwa "wewe ni wa kule"...
Tibaijuka= hawakumbuki
Kagemulo= Zawadi
Kemilembe= ka neema yaani mtoto wa neema
Muganyizi= mwenye huruma
Kasigazi= kakijana, kavulanaTibaijuka= hawakumbuki
Kagemulo= Zawadi
Kemilembe= ka neema yaani mtoto wa neema
Muganyizi= mwenye huruma
Alafu na nyie muache kufananisha kihaya ns kirundi au kinyarwanda. Inawezekana ndo nyie mlikuwa mnasema na jina la kamazima eti ni la kinyarwanda acheni uzushi. Kama sio wahaya msijifanye mnajua kihaya na kuanza kutuchafua. Hayo majina yanayoanza na Tiba mbona yamejaa uhayani mfano Tibaigana= hawalingani
Tibagoshoka= hawaendelei
Tibenda= hawapendi n.k.
Majina yote ya kihaya huwa na maana na wazazi huwapa watoto majina kulingana na hali ilivyo kwao kwa kipindi hicho. Alafu kwenye kihaya kila mtu anaweza kubuni jina lolote akamuita mtoto wake.