Maana/Tafsiri ya Neno -GAIDI-

hii Tafsiri ni sahihi?

  • Ndiyo ni Sahihi..

    Votes: 2 100.0%
  • Sio si Sahihi..

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    2
  • Poll closed .

Domenia

JF-Expert Member
May 26, 2009
462
22
Naona watu wana shindwa kutoa tafsiri halisi ya neno/jina Gaidi-
Mpaka sasa ina one kana hata sheria ina shindwa kufanya kazi kumtambua gaidi ni nani...
naona nitumei nafasi hii kutoa tafsiri labda ita weza kurahisisha kwenye vita hii hapa duniani...
lakini kwanza wacha nitoe maelezo ya utangulizi!!

Mungu ana muona Shetani ni Gaidi-hata wewe Msichana Ikubaka waume za wenzako wewe ni Gaidi..
Mwizi anapo kuja kuku ibia mali zako ....Mwizi ni gaidi..
Mafisadi ni magaidi wa Uchumi utamaduni na maendeleo na amani..

Ugaidi ni negative toward positive attitude!! sasa utata unakuja gaidi- mwizi, muuwaji, na mambo mengi lakini hayo yote ni maneno tu..neno kuu ni Ugaidi!!

binaadamu ni gaidi kwa Ng'ombe kwasababu amehalalisha kula nyama yake..Wakati hii si kitu kizuri kwenye jamii ya Ng'ombe

kwahiyo sheria ya ugaidi iangaliwe na tuchague wapi ni magaidi na wapi si magaidi..tanzania tu onyeshe mfano kwa mafisadi kuwahukumu kwa sheria ya Ugaidi!! na hukumu za kigaidi!!

gaidi anaweza akaonekana leo ni gaidi alagfu kesho si gaidi tena!! au tunachokiona ni positive leo kesho si positive tena!!..mafano akili ya galileo galilei haikua na maana enzi zake lakini leo ina maana zaidi!! kwa wakati huo alionekana ni gaidi dhidi ya imani fulani...

Hata sisi sasa tuwe wafikiriaji!! unae mtuma kwenda kuiba sio gaidi kwako lakini anaekwenda kuibiwa anatakiwa ajue alie muibia ni gaidi!!

hata hii thread ni yaki gaidi kwa watu wengine naupande mwingine ni wazo positive sana!!

Ugaidi/Gaidi ni wazo vitendo hasi dhidi ya usahihi wa Mawazo na vitendo chanya

haya kazi kwako kuchambua kipi ni hasi na kipi ni chanya ila kumbuka hasi na chanya ikikutana lazima kunakitu hutokea kama 9/11
 
Last edited:
Mimi natofautiana na wewe kwenye maana halisi ya 'gaidi". Kwa kifupi nielewavyo mimi 'gaidi' ni kitendo zaidi ya ubaya, yaani kuiba pekeyake haiwezi kuitwa ugaidi bali mtu akaiba na kuua na kuchoma moto nyumba, huyu ndio 'gaidi' - over-doing above the normal offense ndio "ugaidi" (ukatili wa kupindukia).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom