Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,957
Hao tena kuna wale wanaotokea kanade
Hao cwajui
Hao tena kuna wale wanaotokea kanade
Ni hao haoHao cwajui
Mie nafahamu Lugha za asili za kutosha na nazipenda haswaa..!
Naongea kisukuma japo sio msukuma kabisa, najua kinyiramba, kinyaturu, kitaturu, kipogoro, kindamba na kingindo, wote hao nilijua maana ni watani zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano Rutashubanyuma, Bushaijabwe na Kokunura kwa Jamaa zangu wa BK.Ita majina ya asili yenu jamaa, achana na u Swahili kama una mtoto.
Mfano Jina la kisukuma : Jisabamabholo Ngenyandito, Lundelukuba Magulugambula..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano Rutashubanyuma, Bushaijabwe na Kokunura kwa Jamaa zangu wa BK.