Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,957
Sijui Aiseee !! Watu wanayatumia sana tumeacha yetu ya asili tukiona ni ujanja kujiita ya kizungu na wazungu hutushangaa sana eti mbantu kuitwa Harry Alex Steven!?.. Au Jamal idrisa!?? We are so stupid !!! Ulishaona wapi mzungu akijiita Atupele!??au mwarabu kujiita Ndesanjo!?
Hapo kwa jamal idrisa ni sawa tu, hayo ni majina ya kiarabu/kiislamu hivyo kwa waislamu na wale wanaosilimu kutoka kwenye ukristo kwenda uislamu ni sawa tu kupewa.
Wasiokuwa waislamu ndo wanapenda kuwapa watoto wao majina ya kizungu, yani ni ushamba na urimbukeni 2.