Zitto aonyesha video maana halisi ya Uzalendo, haya tunayoaminishwa na CCM hayana ukweli wowote. Angalia uone ukweli

Watu wanafanya makosa, halafu yakigundulika they try to appeal to people's patriotism. Ni ujinga, the sad thing is kuna watu wengine wameshaaminishwa kabisa kuwa uzalendo ni kuitetea serikali hata kama iwe imefanya kosa gani. Those people need to WAKE UP!!
 
Uzalendo, uwajibikaji, haki, wajibu na hata utawala wa sheria, ni vitu vyenye sura mbili, ambapo kila mmoja katika nchi anapaswa kuvitekeleza. Sisi petu ni mwananchi tu anayetakiwa awe mzalendo, awe muwajibikaji na awe "mtii sheria bila shuruti".

Hivi serikali iliyotangaza vita vya maneno na vitendo kwa upinzani, itawatake wapinzani hao hao wawe wazalendo, wawe wawajibikaji, wawe watii? Ama turudi katika utawala wa chama kimoja au tuterejee kwanye Katiba Mpya ili tuanze upya kwani kwa katiba tuliyonayo au Katiba Pendekezwa, tutaendelea kuswagana kwa kurudi nyuma badala ya kwenda mbele.
 
Sahau habari ya katiba kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui tuelekeako kwa kweli, na sielewi mantiki ni ipi hasa mpaka wafikirie kitendo hiki.

Ni kama ya Leseni za Magari kwa madereva????

Ama

Ni kama Waziri Lukuvi na kuwapoka wasioendeleza mashamba????

Ila wacha tuone Uhuru utakavyoendelea kubakwa.

Ndo naanza pata Picha ya Yale aliyokuwa anayaonyesha bwana Jeff

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • IMG-20170823-WA0039.jpg
    IMG-20170823-WA0039.jpg
    65.8 KB · Views: 28
Ameenda kama mkimbizi wa somali na amechaguliwa kwenye bunge USA,TZ hata ukizaliwa utaulizwa baba na babu sijui bibi wako walikuwa na uraia gani,muhimu ni uzalendo uadilifu pia unaishi vizuri na jamii inayokuzungua ktk kusukuma maendeleo ya jamii husika,Afrika mipaka iliwekwa na Wazungu tu,Yote na yote uhuru wa kujeleza muhimu,ahsante Zitto.
 
Uzalendo sio kufata kile rais anasema bali uzalendo ni kulinda na kutetea katiba na mali za umma. Na uzalendo ni kutoa haki kwa usawa kwa raia wote bila ubaguzi na kupingana na rais katika kulinda katiba ndo uzalendo wenyewe

Na wasalti je??
 
Hiyo ni tafsiri ya wamarekani juu ya uzalendo..Kwetu sisi uzalendo ni kuunga mkono fikra za mwenyekiti wa chama na mananeno ya wenye mamlaka tuu. Vinginevyo ukipinga weye sio mzalendoo..Hakuna tafsiri moja kwa neno malendooo...
 
Back
Top Bottom