Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,407
Ni CAG aliyasema haya?Wewe unayasema haya kama nani kwenye hii nchi?Wewe unayasema haya kama chombo gani cha mamlaka kwenye hii nchi?Unamaanisha kuwa tumpuuze CAG na tukusikilize wewe kama chombo chenye mamlaka?Umechanganyikiwa?Okay tufanye ni kweli..lakini jamaa hakufanya huu ufisadi na kwenda kula Bata popote dunia hii, aliufanya ili nchi ipate maendeleo,
Unaelewa kuwa mimi sikutumia utashi wangu kusema kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi bali nimetumia ripoti ya CAG ambacho ni chombo chenye mamlaka na cha kuaminika kwenye hii nchi?
Ninyi wananchi gani?Mna CAG wenu ambae hatambuliki nchini na ambae alitoa ripoti yake ambayo wengine hatuijui?Unaongea haya kwa kutumia reference gani?Unaelewa kuwa niliyoyaongea kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi sijatumia utashi wangu bali nimetumia reference ya ripoti ya CAG ambacho ni chombo cha kuaminika?Sasa wewe unaongea haya kwa kutumia reference gani?Unapoteza muda wangu makusudi?na ndo ufisadi ambao wanachi tulio wengi tunaoutaka, kudhibitisha hivyo hii kelele ya tilion 1 mnaipigia ngoma nyie na kucheza wenyewe kwa uchache wenu sisi wanachi tunajua zilienda wapi na zikafanya Nini.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app