Kukaja Kununu
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 1,077
- 1,210
Njoo nikuunge na Forever Living. Achana na fursa uchwara
Njoo nikuunge na Forever Living. Achana na fursa uchwara
kila jambo hapa duniani ni fursa sema inategemea na jinsi utakavyokua mbunifu na kufumbua jicho la tatu ili kugundua fursa zilizokuzunguka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukufuata maelekezo. Njoo na laki tano cash nikueleze njia ya kutoboaAhahahah mkuu nimemaliza zana soli za viatu kwa izo issue...
Hukufuata maelekezo. Njoo na laki tano cash nikueleze njia ya kutoboa
Akifika atafute mtu mrefu hivi halafu mfupi kiasi. Ndio mimi huyoNamtuma mtoto mkuu...amevaa fulana ya kijani ina shoka na nyundo
Hujambo?Akifika atafute mtu mrefu hivi halafu mfupi kiasi. Ndio mimi huyo
Sijambo mama. Heri ya mwaka mpya
Hivi tangu mwaka uanze hujanisabahi? Sijakulea hivi mwananguSijambo mama. Heri ya mwaka mpya
Akifika atafute mtu mrefu hivi halafu mfupi kiasi. Ndio mimi huyo
Sikuwepo hapa mjengoni mama yangu.
Kwa hiyo usiponipata hapa mjengoni hakuna sehemu nyingine unaweza kunipata? Ama kweliiSikuwepo hapa mjengoni mama yangu.
Mzima lakini ?
Niseme tu mwanao niliteleza mama. Nisijifanye kujitetea.Kwa hiyo usiponipata hapa mjengoni hakuna sehemu nyingine unaweza kunipata? Ama kwelii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ndio maneno sasaNiseme tu mwanao niliteleza mama. Nisijifanye kujitetea.
Nisamehe sana
Namtuma mtoto mkuu...amevaa fulana ya kijani ina shoka na nyundo
Serious? Si ndio atadhaniwa kuwa ndio korona mwenyewe????
"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"
Charlie Chaplin
Umenena vema sana, MTU Fulani niliwah msoma maandishi yake anasema,,, Uzi unaotenganisha MTU alofanikiwa na asiyefanikiwa ninuwezo wao wa kugundua Fursa wakati wa mchana na wakati wa Usiku ".kila jambo hapa duniani ni fursa sema inategemea na jinsi utakavyokua mbunifu na kufumbua jicho la tatu ili kugundua fursa zilizokuzunguka
Sent using Jamii Forums mobile app