Simple8
Member
- Nov 22, 2018
- 41
- 37
Kila kikicha naona maamuzi ya kutokuoa yanashika kasi kwa upande wangu,sababu inayopelelekea hivyo ni aina ya wanawake ninaokutana nao na aina ya wanawake ninaowataka/hitaji mimi inakuwa vice versa,na mm sipo tayari kuoa mwanamke kwa ajiri ya kautimiza pressure za wananzengo nataka itoke moyoni mwangu kabisaili mwanamke Huyo awe sehemu ya furaha ya maisha yangu! Swali lan.Je kuna mwanamume mwenye mtazamo/changamoto kama hii!? Umri wangu unakidhi vigezo vya kuingia katika ndoa.Mwisho wa kuwasilisha.