kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,721
- 6,513
talaka wanapewa wazazi kwasababu yeye kamchukua kutoka kwaoMkuu talaka anapewa mzazi?..kwani mzazi ndo uliemuoa?
Ilitakiwa umpe talaka yeye mwenyewe na ajue kosa alilofanya...Sasa umetoroka TU
Ila pole Sana mkuu...hongera kwa kupata mahabuba wako...Mpendane muelewane wenye Kijiba waulizane.
Salute me Again