maamuzi ya mwisho

Hata mie nilikuwa najaribu kutegua kitendawili cha Smile,

Ngoja kwanza atusimulie vizuri kile anachopanga kufanya ili tuendelee kubashiri!

Babu DC!!
nyie mtaona matokeo najua mtanilaumu sana,na kuniona nimepotoka lakini ndo amani yangu ipo pale
 
kuna njia ni nzuri na njema watu wengi wanaiendea
hata mimi nilitamani na nilijitahidi kuiendea njia iyo
lakini naona imeshindikana na imekuwa mzigo na mateso kwangu
kuna njia nimeamua kuiendea

najua wengi wataniona nimekosea na nimepotoka na watanilaumu na kunidhihaki sana
lakini naitaji kupumzika naitaji furaha moyoni mwangu na nimegundua njia hii ingawa sio nzuri machoni mwa watu ,itanipatia furaha

Nadhani hapa njia alochagua ni kuendelea kuwa single hadi anafika 50. Kila la kheri

Umemsoma vizuri kweli huyu mleta mada? Hebu rudia kwa vituo hayo maeneo yenye blue na red halafu uone kama tafsiri yako ina-apply!!
 
nyie mtaona matokeo najua mtanilaumu sana,na kuniona nimepotoka lakini ndo amani yangu ipo pale

Hapana smile,

Kama kuna watu wanakaa wakingoja kuwa-judge wenzao basi hao ndio wenye matatizo...

Yaani unaweza kukuta sie ambao hatusemi tunatenda madhambi ya kutisha hata kukaribia kumpita shetani mwenyewe....

Kuna wakati unatakiwa kusikiliza mapigo ya moyo wako tu...Huna sababu ya kuangalia nyuma kama uko tayari kwa lawama zozote....Unless unataka kufanya kitu ambacho kitawaumiza watu wasio na hatia au ndo cha kwanza kutokea hapa duniani!!

Babu DC!!
 
kuna njia ni nzuri na njema watu wengi wanaiendea
hata mimi nilitamani na nilijitahidi kuiendea njia iyo
lakini naona imeshindikana na imekuwa mzigo na mateso kwangu
kuna njia nimeamua kuiendea
najua wengi wataniona nimekosea na nimepotoka na watanilaumu na kunidhihaki sana
lakini naitaji kupumzika naitaji furaha moyoni mwangu na nimegundua njia hii ingawa sio nzuri machoni mwa watu ,itanipatia furaha

wachina huwa wananifurahisha sana,wao huwa hawana mda wa kuja ktk mtandao na kuomba ushauri,pindi mambo yaendapo kombo basi,hupanda ktk ghorofa ya 10 ama 12 na hujiachia kuanzia hapo hadi chini na hapo ndipo huwa mwanzo na mwisho wa maisha na kero za kidunia

kama tungefuata jinsi wachina wafanyavyo basi tungekuwa tunashughurikia mambo mengine na sio kushauri juu ya nini kifanyike baada ya kugombana na kupishana kwa kauri na mwenza wako

my take:- kwanini usifuate jinsi wachina wanavyofanya?
 
ahahaaa nilikuwa sina mpango wa kucheka leo dah
haya bwana
 
nashukuru kama umefurahi
kwani furaha yako ni mwanzo mzuri wa kuanza upya na kutafuta njia mbadala itakayo ongeza furaha zaidi ya hii uliyoipata kwa mda mfupi uliopita

yawezekana usichague mchina method lakini ukatafuta inayohusiana ili mradi tu furaha yako iwe ni endelevu
 
hebu nipe method nyingine bwana naona wewe ni mtaalamu
 
Wow Keren....Hujambo jamani..am happy kukuona

Mimi Smile hata sijamwelewa!

Hi Kaizer! Happy to see you too!

I am back now. Hope wewe u mzima.

Mhhh...kwa jinsi alivyoandika sio rahisi kumwelewa. Nimemtakia kila la heri kwa hicho anachotaka kufanya.

Uwe na jioni njema!
 
kuna njia ni nzuri na njema watu wengi wanaiendea
hata mimi nilitamani na nilijitahidi kuiendea njia iyo
lakini naona imeshindikana na imekuwa mzigo na mateso kwangu
kuna njia nimeamua kuiendea
najua wengi wataniona nimekosea na nimepotoka na watanilaumu na kunidhihaki sana
lakini naitaji kupumzika naitaji furaha moyoni mwangu na nimegundua njia hii ingawa sio nzuri machoni mwa watu ,itanipatia furaha

umeamua kujilipua a la martina navlatilova?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom