Maamuzi ya Kamati Kuu CHADEMA kuwasimamisha MM; Sahihi, Kosa, Sijui

Maamuzi ya Kamati Kuu CHADEMA kuwasimamisha MM; unayaafiki?

  • Sahihi

    Votes: 404 86.0%
  • Kosa

    Votes: 59 12.6%
  • Sijui

    Votes: 7 1.5%

  • Total voters
    470
  • Poll closed .
Kuna mtu kapiga kura na ID zake tatu, sasa sijui fairness ya hii poll ni ipi?
Gamba la Nyoka, sasa hapa unataka kusema nini hasa! Kwa nini usimripoti kwa mods? Kumbuka hatutaki aina yoyote ya uchakachuaji humu...hii ni JF! Tsunami haizuiliki na uzito hupimwa kwa kilo au paundi...si jina, jinsia, rangi, dini, elimu, umri au utajiri!
 
magamba yote ni 57 tu?
Yeah, ni 57 tu lakini kwa kelele utadhani JF ni wao tu walivyo na ID nyingi! Naona simu za Samsung zaidi zahitajika kutoka kwa Januari, come on Makamba Junior, njoo huku uokoe jahazi.
 
Maamuzi ya CC Chadema kuwasimamisha uongozi MM na washirika wao ni sahihi kabisa kwani umezingatia sheria,kanuni,itifaki na maadili ya KATIBA YA CHAMA.
Na huu ni mwendelezo mzuri wa kujenga NIDHAMU ndani ya Chama kwa kuzingatia kanuni,muongozo na taratibu za Chama husika ili kujenga Umoja na Mshikamano ndani ya Chama na sio Utengano kama MM walivyokuwa wamekusudia.

NAWASHUKURU CC KWA MAAMUZI MAGUMU YENYE KUZINGATIA KATIBA YA CHAMA.
 
Sidhani hata wanafika idadi hiyo. Kumbuka katika hao 57 kuna wengine ambao si magamba lakini hawakubaliani na uamuzi wa KK. Lakini sidhani kuna gamba hata mmoja anayesupport uamuzi wa KK kwa hiyo magamba wote watakuwa kati ya hao 57 ila hao 57 sio wote magamba.

Ukiwaondoa hao ambao sio magamba katika hiyo 57, magamba watabaki wachache sana.

magamba yote ni 57 tu?
 
5+5+=10democracy can say 5+5=55na wakashinda, kushinda au kutoshinda uwa hakuondoi facts
 
Back
Top Bottom