Maamuzi ya CHADEMA Asilia

CCM bana kama watoto na ka mbinu kao haka kuwavalisha watu t-shirt za CDM na kusema ni CHADEMA asili,.

Endeleeni kuwavalisha wafuasi wenu na wanachama t-shirt za CDM wakigoma kuvua na wakafanya kweli msije kulaumu.
 

Wewe ni gamba tangu ukiwa tumboni mwa mama yako.
 

Unaongelea tafiti zipi? Zile za kipara mzee wa madesa au? Shame on you Ccm anguko lenu Oct.25,ntachinja bila huruma.
 
sio unstumia maneno tu kasuku. kwa neno mfumo una maana gani kama sio unakariri anachosema mbowe. kuchukua makapi ya ccm na nyumbu wao ndio mtabadili mfumo au kutafuta gia ya kutokea? bahati mbaya gear yenyewe ni 'reverse'! teh teh teh.
 
CCM bana kama watoto na ka mbinu kao haka kuwavalisha watu t-shirt za CDM na kusema ni CHADEMA asili,.

Endeleeni kuwavalisha wafuasi wenu na wanachama t-shirt za CDM wakigoma kuvua na wakafanya kweli msije kulaumu.

Hahaaa eti wakigoma kuvua, umenichekesha mkuu.
 




Let's have a honest debate on this,Dr Slaa ndiye Mwana CHADEMA pekee aliyekuwa na mvuto wa kugombea urais,shida inakuja ktk kupata kura za makundi flani ya kijamii.Mimi na wewe tunajua fika kwamba UKAWA kama wangemsimamisha Dr Slaa kugombea urais wangepata shida sana kumnadi kwa Waislamu kutokana na historia yake ya nyuma ya kuwa padre,kumbuka pia kwamba Dr Slaa hakuwa na uhakika wa kupata kura za Wakristu kwa zaidi ya 50% kwasababu Dr Magufuli naye ni Mkristu na anaungwa mkono na Wakristu wengi hasa Wakatoliki.Je,ni nani mwingine mbali na Dr Slaa aliyekuwa na mvuto wa kugombea urais kupitiwa UKAWA/CHADEMA?
 
kwa nini msimpe bwana Hashim Rugwe au Anna Mgwira Kura zenu,
any way mna kura ngapi, mko wangapi
 
Pengine kuna watu/viongozi ndani ya UKAWA/Chadema wameona kwa hili au mengine wameshakosea. lakini wamejiuliza ni lipi solution ya haya?je ni kuanzisha chama chao?kuhamia CCM?kuitisha press conference na Kujuta/kuponda maamuzi uliyoshiriki kama LIPUMBA/SLAA?..Jibu HAPANA kwa sababu yote hayo ni kuiongezea nguvu CCM ambayo hata wao(wasaliti) wameona haifai zaidi.so me nadhani wapinzani wakweli sio wale wanaogeuka katikati ya safari kwa kosa moja,huwezi kujipunguzia kura uchaguzi mkuu na kusema ujenge chama baada ya uchaguzi.
 
Chadema asili huwa wanajitambua kuliko Chadema Maslahi waliokweda na Lowasa
 
Treni ya mafisadi inaongozwa na LOwassa inaelekea kutoka nje ya reli na kupinduka hali itakayoleta majanga kwao hao wana ukawa.
 
Huu msamiati unaotumika sana eti (mfumo) naomba uelezwe bayana na wenye kuuju tafadhali
 

Mimi mwenyewe ni Chadema asili lakini kwa hili niujinga kuzira kama mtoto.Akiondoka hata Mbowe mimi Bado ni Chadema.
 

CHADEMA wamenunuliwa kweli walikuja vizur sana sasa atimaye wamepotea
 
Msimamo wa chadema asilia ni huo huo wala hakuna atakaye rudi nyuma. Twende na Dr. Slaa twende na Magufuli.
 

Mimi ni chadema asili lakini kura yangu kuipeleka ccm sawa sawa na kukubali kuwa shoga siwezi na kataaa katakata bora lowassa mara bilioni 10 kuliko CCM TENA HAPANA NAKATAA KWA JINA LA YESU NAKATAA
 
Chadema asilia nyuma ya keybord na jina fake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…