Sasa hivi wameshusha mfanano mpaka 30% lakini kwa shida mnoKuna system wanatumia, mfano kama umeweka picha ya dog, wao huwa hawaangali kingine zaidi ya kuingiza jina dog na kama system itaonesha kufanana kwa asilimia 50% ya kampuni zingine! Basi itoshe kuikataa logo yako!
At least mfano unatakiwa uwe chini ya 50%
weka zebra au mbuziNaomba kusaidia hili wakuu.
Nilikuwa na mpango nianzishe brand ya kutengeneza viatu, nguo, kofia na vitu vingine, maana nilitaka itambulike kabisa brela.
Nilituma maombi ya isajili wa jina na logo(trademark) lakini brela wamekataa maombi yangu kisa imefanana na logo ya ferrari,
lakini ukiangalia logo yangu na ya ferreri haziendani hata kidogo.
naweza kufanyaje ili kulalamika juu ya hili ili ipitiwe upya.
dora brand
View attachment 2127972
ferrari logoView attachment 2127973
naona kama zinatofautiana sana hata haziendani.
Usio muoga wa biashara buni log yako tofauti na hiyo kabisa ya ferrari tumia brain yako zaidi, ujue watumiaji wa viatu vyako watavutiwa na nini? Kuliko ku edit hiyo hiyoNaomba kusaidia hili wakuu.
Nilikuwa na mpango nianzishe brand ya kutengeneza viatu, nguo, kofia na vitu vingine, maana nilitaka itambulike kabisa brela.
Nilituma maombi ya isajili wa jina na logo(trademark) lakini brela wamekataa maombi yangu kisa imefanana na logo ya ferrari,
lakini ukiangalia logo yangu na ya ferreri haziendani hata kidogo.
naweza kufanyaje ili kulalamika juu ya hili ili ipitiwe upya.
dora brand
View attachment 2127972
ferrari logoView attachment 2127973
naona kama zinatofautiana sana hata haziendani.
Wanataka chochote (rushwa), sio bureNaomba kusaidia hili wakuu.
Nilikuwa na mpango nianzishe brand ya kutengeneza viatu, nguo, kofia na vitu vingine, maana nilitaka itambulike kabisa brela.
Nilituma maombi ya isajili wa jina na logo(trademark) lakini brela wamekataa maombi yangu kisa imefanana na logo ya ferrari,
lakini ukiangalia logo yangu na ya ferreri haziendani hata kidogo.
naweza kufanyaje ili kulalamika juu ya hili ili ipitiwe upya.
dora brand
View attachment 2127972
ferrari logoView attachment 2127973
naona kama zinatofautiana sana hata haziendani.
Usio muoga wa biashara buni log yako tofauti na hiyo kabisa ya ferrari tumia brain yako zaidi, ujue watumiaji wa viatu vyako watavutiwa na nini? Kuliko ku edit hiyo hiyo
Sidhani kama waneshusha similarity/mfanano mpaka 30%Sasa hivi wameshusha mfanano mpaka 30% lakini kwa shida mno
cliff pale mahali kuna tatizo huo ndio ukweli mimi nami nilihangaika mno halafu mwishowe kuna jina likakubali lakini ambalo mwanzoni kabisa lilikuwa rejectedSidhani kama waneshusha similarity/mfanano mpaka 30%
Mwaka 2017 nilihangaika na jina la biashara yangu mpaka nikaacha.
Safari hii sasa mwezi na ushee, kila jina ninalopeleka linarudi hata kwa similarity ya 20%. Ni shida.
Mkuu intellectual property inasema huyo mnyama si mali ya mtuu ni universalTatizo ni huyo mnyama hapo umecopy na kupaste, hata mimi nisingekubali huo ujinga.
Je, umewahi kumuona farasi? Kwenu wapo, Ferarri wanamtumia kwa sababu injini za gari zinapimwa nguvu ya uwezo kwa hp(horse power), yaani nguvu ya farasi, sasa na wewe hizo kandambili utazipima kwa hp?Baada ya brela kukataa maombi ilibidi niangalie makosa yangu, nilikutana na makampuni mengine yanatumia farasi, maana brela wamesema farasi inatumiwa kwenye kampuni ya ferrari.
Kama kisa ni farasi mbona kampuni fulani imeweka farasi.