Maamuzi wa wanayanga leo 17/08/2016

Song il gok

JF-Expert Member
Feb 23, 2015
878
936
Wakuu habari
Sikiliza maamuzi ya Wanayanga yaliyofikiwa mapema leo
 
Attachments

  • WANAYANGA WAAZIMIA YAFUATAYO BAADA YA MWENYEKITI MANJI KUTAKA KUJIUZULU.mp4
    3 MB · Views: 61
Ukimsikiliza akilimali yupo sahihi, sema yanga wanaponzwa na fashiri za manji,

Ila ukwel haiwezekani yanga kukodishwa huo utakuwa ni wendawazim wa mchana kkoo
 
Ukimsikiliza akilimali yupo sahihi, sema yanga wanaponzwa na fashiri za manji,

Ila ukwel haiwezekani yanga kukodishwa huo utakuwa ni wendawazim wa mchana kkoo
Mzee akilimali yupo sahihi kwa lipi na manji amezinguA nini? fafanua
 
Mzee akilimali yupo sahihi kwa lipi na manji amezinguA nini? fafanua
mkuu fuatilia soka la bongo, manji alitishia kujitoa
akilimali alipoulizwa kama katibu wa wazee wa
yanga akasema kama ameamua hakina shida
yy haon sabab ya yanga kukodishwa,

wanachama wametangaza kuwa wanKusudia kumvua
uanachama, maana amekiuka maadili ya uongozi
i mean wanachama wa matawi 90s

hapo ndipo mgogoro ulipo
 
mbona hujaonesha ni kivipi yupo sahihi sasa? Na manji amekosea nini?! toa facts mkuu
 
Back
Top Bottom