wee zedikaya wewe ni mwanaume au mwanamke??mmmmmnh <a href="https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/163804-mzuka-umepungua.html" target="_blank">https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/163804-mzuka-umepungua.html</a>
jaman huyo dada sio mrembo wala hana elim ya kutosha maana angetumia elim na urembo wake kutafuta wake,yan na elim yako unataka kujiingiza kwny uke wenza?,. Elewa baada ya miez mi3 atatafuta mke wa3 cjui utajickiaje?