Maamuzi sahihi kwa wakati sahihi

Maamuzi sahihi kwa wakati sahihi

Me nawashangaa chadema, hivi si ndio mliomfukuza Zitto kwa tuhuma za kuwa 'msaliti?'

Kwa nini inawauma wenzenu wanapowafukuza watu kwa tuhuma ile ile ya 'usaliti?'

Kama wanaona wameonewa wataenda mahakamani kama alivyofanya Zito na hukumu ikitoka aliyeshinda ameshinda.

Jengeni chama chenu kwa kuitisha uchaguzi wa mwenyekiti maana naona amekuwa dikteta mwenyekiti wa kudumu yupo tu miaka nenda rudi.

Hata mkeo / mumeo akiwa msaliti unampa talaka
 
Kusaliti chama si sawa na kusaliti matarajio na haki za wananchi
 
CCM ni chama cha taifa. Chama cha wananchi.
Chadema ni chama cha watu kadhaa
Kweli wewe Bird
Jitasmini tena kwa nini umekuwa wewe na sisi wewe mwengine kirational na kireason zaid
Nakupa zoez dogo ila akili iwe nyepesi
Msemaji wa chama alichokiacha Mwl ametokea Wapi
Rudi ktk Baraza la Mawaziri na Manaibu wake kisha endelea kama nilivyo kuhuliza
Hizo fikra Mgando zako peleka uliko tokea
 
HAKUNA NAMNA YA KUMVUMILIA MSALITI MWENYE SIFA HIZI NDANI YA CHAMA (CCM)

1. Mnategemea mbinu zake kuleta ushindi wakati kichwani mwake anapambana kuwamaliza kwa faida ya wapinzani aliowakabithi moyo wake.

2. Msaliti ni wakala wa taarifa nyeti kutoka kwenye vikao vya chama kwenda kwa wapinzani (mvujisha siri)

3. Msaliti ndani ya chama ni kikwazo cha kufikia matarajio ya chama kwenye chaguzi, kutekeleza ilani na shughuli za chama kwa ujumla

4. Msaliti ni mtu anayefurahishwa na kushindwa au kusulubiwa kwa chama (CCM) na wapinzani, mkiwa nae anajifanya kuumia pembeni anafanya sherehe.

5. Msaliti ni sawa na kifaa kibovu kwenye gari wakati dereva anapambana kusonga mbele kifaa kibovu kinakwamisha safari.

6. Msaliti ni adui mwenye siraha ndani ya chama, maana anajua nguvu na udhaifu wa chama ni rahisi sana kuleta matatizo kwenye chama .

7. Msaliti ni kama mpishi anayepika chakula akiwa na sumu mkononi, muda wowote anaweza kuleta anguko la chama.

8. Msaliti hana tofauti na kichaa aliyekabithiwa siraha muda wowote anaweza kubomoa ngome ya chama ( CCM)

9. Msaliti ni ugonjwa ndani ya chama, wakati viongozi na wanaCCM wengine awaleta afya njema ya chama msaliti anakidhoofisha.

10. Msaliti ndani ya CCM ni halufu mbaya mbele ya wanaCCM waadilifu akikaa karibu nao wanaanza kutoa halufu mbaya.

CCM imefanya maamuzi sahihi, wakati sahihi kwa maslahi ya CCM na taifa kwa ujumla maana bila CCM imara taifa litatikisika , nawapongeza viongozi na wajumbe wote waliokubaliana kuwachapa wasaliti bila huruma.

Ni vema sasa rungu hili likawachape wanaotumia rushwa kwenye uchaguzi wa chama na serikali, hii ndiyo njia muhimu ya kuirudisha CCM mikononi mwa wananch wa kawaida.

Wasaliti bora waende hata kama wakiwa 1,000 waende kokote wanakoshisikia au walipokuwa wamenunuliwa
 
Kweli wewe Bird
Jitasmini tena kwa nini umekuwa wewe na sisi wewe mwengine kirational na kireason zaid
Nakupa zoez dogo ila akili iwe nyepesi
Msemaji wa chama alichokiacha Mwl ametokea Wapi
Rudi ktk Baraza la Mawaziri na Manaibu wake kisha endelea kama nilivyo kuhuliza
Hizo fikra Mgando zako peleka uliko tokea
Badala ya kukesha JF, tumia muda huu ujifunze kiswahili fasaha! Ulichokiandika hakieleweki.
 
HAKUNA NAMNA YA KUMVUMILIA MSALITI MWENYE SIFA HIZI NDANI YA CHAMA (CCM)

1. Mnategemea mbinu zake kuleta ushindi wakati kichwani mwake anapambana kuwamaliza kwa faida ya wapinzani aliowakabithi moyo wake.

2. Msaliti ni wakala wa taarifa nyeti kutoka kwenye vikao vya chama kwenda kwa wapinzani (mvujisha siri)

3. Msaliti ndani ya chama ni kikwazo cha kufikia matarajio ya chama kwenye chaguzi, kutekeleza ilani na shughuli za chama kwa ujumla

4. Msaliti ni mtu anayefurahishwa na kushindwa au kusulubiwa kwa chama (CCM) na wapinzani, mkiwa nae anajifanya kuumia pembeni anafanya sherehe.

5. Msaliti ni sawa na kifaa kibovu kwenye gari wakati dereva anapambana kusonga mbele kifaa kibovu kinakwamisha safari.

6. Msaliti ni adui mwenye siraha ndani ya chama, maana anajua nguvu na udhaifu wa chama ni rahisi sana kuleta matatizo kwenye chama .

7. Msaliti ni kama mpishi anayepika chakula akiwa na sumu mkononi, muda wowote anaweza kuleta anguko la chama.

8. Msaliti hana tofauti na kichaa aliyekabithiwa siraha muda wowote anaweza kubomoa ngome ya chama ( CCM)

9. Msaliti ni ugonjwa ndani ya chama, wakati viongozi na wanaCCM wengine awaleta afya njema ya chama msaliti anakidhoofisha.

10. Msaliti ndani ya CCM ni halufu mbaya mbele ya wanaCCM waadilifu akikaa karibu nao wanaanza kutoa halufu mbaya.

CCM imefanya maamuzi sahihi, wakati sahihi kwa maslahi ya CCM na taifa kwa ujumla maana bila CCM imara taifa litatikisika , nawapongeza viongozi na wajumbe wote waliokubaliana kuwachapa wasaliti bila huruma.

Ni vema sasa rungu hili likawachape wanaotumia rushwa kwenye uchaguzi wa chama na serikali, hii ndiyo njia muhimu ya kuirudisha CCM mikononi mwa wananch wa kawaida.

Mkuu hilo jina lako tu mimi hoi, I wish ningekuwa matulu ili niwe jirani yako.
I
 
Back
Top Bottom