Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Ngoja nkwambie mwanaume kama hakutaki usimlazimishe utajuta maisha yako yote hata kama atakuoa ndoa ni upendo amank na furaha usije ukujikuta baadae unajijutia wewe si wa kwanza kuzaa nje na wala s wa mwisho
wanawake tuna tabia ya kujipa moyo kwamba labda atabadilika km kashindwa kukuthamini kipindi hiki upo nae mjamzito huyo tena bas usimhesabie huyo live your life my dear
Hapana mkuu, sisi ni watu watatu tofauti
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ngoja nkwambie mwanaume kama hakutaki usimlazimishe utajuta maisha yako yote hata kama atakuoa ndoa ni upendo amank na furaha usije ukujikuta baadae unajijutia wewe si wa kwanza kuzaa nje na wala s wa mwisho
wanawake tuna tabia ya kujipa moyo kwamba labda atabadilika km kashindwa kukuthamini kipindi hiki upo nae mjamzito huyo tena bas usimhesabie huyo live your life my dear
mnaishije ?
mshukuru Mungu km umempata,ila msiendelee kuzini, fungeni ndoa kabisa hata kimya kimya tu
tunaishi kama kaka na dada
Pole sana
Pole mamy ,sasa hapo kaa kwa akili yako