Dah! hiyo buluu hiyo yaani leo tu kuna mkasa nimepatiwa uko exactly sawa na hivo mnavyoongea, ningekuwa sio ufinyu wa muda na michofu walahi ningeuweka wazi zaidi maana labda mngewasaidia pia hawa waathirika kupitia hii thread, yaani dume limemng'ang'ania mdada kwa kisa tu eti mahitaji yake yatasambaratika kwa jinsi walivyojijenga pamoja.