3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,580
- 16,278
Karbu Sana tena SanaYour perfectly welcome to the best forum in Tanzania.
Asante sana Ms Chaggakaribu
Ha ha sawa mkuu
karibu
Ha ha ha uliwaonaje mkuu?Pita huku tukuone sura kwanza maana kuna wana JF wana sura za ajabu haijawahi kutokea
Asante sana
ya kwako iliwahi kutokea wapiPita huku tukuone sura kwanza maana kuna wana JF wana sura za ajabu haijawahi kutokea
Nashukuru sana, nimekaribiaKaribu
Asante sana mkuuKaribu sana mkuu, na kila la heri....