Maamuzi magumu tu

Maamuzi magumu tu

Nishachoka kuendelea kuwa CCM na hasa mchango wa Kangi Lugola Jana kuhusu bidhaa za kigeni bungeni hadi dakika hii ninayemsubiri ni Lowassa tu aidha awe raisi au wamchakachue nikimbilie UKAWA kabla hawajafunga milango na madirisha.
 
Hakika kumkata Lowasa ndio itakuwa lala salama ya CCM.Itapumzika kwa amani
 
NSSF DAMU

Labda Lowassa ni chaguo lako wewe na mkeo. Siyo kila Mtanzania anataka kuchagua fisadi mkubwa tena papa.
 
Last edited by a moderator:
mbona wasomi wazima nchi hii ni km machokoraa? lowasa lowasa ccm ccm wana kitu tena mnaona muone wakifanya? namshangaa mtu anayezungumzia ccm nyakati za leo tena unakuta kijana mdogo graduate. mnapenda shortcut. Sahv ni wakati wa kuiondoa ccm. mpango mzima UKAWA
 
Back
Top Bottom