Maamuzi magumu tu

Maamuzi magumu tu

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Baada ya Jaji Agustino Ramadhani jana kutangaza nia naona mjadala umekuwa mkali sana ktk mitandao ya kijamii kiasi kwamba tunataka kuaminishwa huyu ndiye Rais ajaye.Uchaguzi wa mwaka huu unataka mtu anayeuzika kirahisi na chaguo la wananchi.Sasa kama CCM wanataka kuwa chama cha upinzani au ikibidi kipotee kabisa wajaribu kuwachezea shere watanzania na watu ambao hawana mvuto wowote,Watanzania wameshaonesha kuwa mtu ambaye wanamhitaji na ndio chaguo lao ni Lowassa tu kinyume chake CCM ijiandae kisaikolojia kuwa kama KANU cha nchini Kenya
 
lowassa anapendwa na walio wengi nikiwemo mm sasa msitujumuishe ktk umoja wenu wachache
 
NSSF DAMU

vigezo lazima vizingatiwe, vigezo havifuati mtu anayependwa na wengi kwa kupenyeza mlungula

Kigezo

[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] Jaji Agustino Ramadhani
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] Edward Ngoyayi Lowassa
[/TD]

[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] Umri
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] Miaka 66
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] 62
[/TD]

[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] Elimu
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] Ni ya juu ngazi ya shahada ya sheria
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] Elimu ya juu ngazi ya shahada
[/TD]

[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] Uzoefu wa kazi
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] Amebobea kwenye mhimili wa dora upande wa mahakama
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] Amebobea kwenye mhimili wa dora upande wa serikali na bunge
[/TD]

[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] Uadirifu
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] Hakuna mashaka yoyote kuhusu uadirifu wake
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] Kuna mashaka mengi sana kuhusu suala la uadirifu
[/TD]

[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] Kazi alizofanya
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] Jaji, mwanajeshi, mchungaji
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] Kichunga ng`ombe, katibu wa chama, mkurugenzi IACC, mbunge, waziri, waziri mkuu.
[/TD]

[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] Historia kazini
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] Amefanya kazi serikalini hadi amestaafu kwa mjibu wa sheria
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] Alijihudhuru uwaziri mkuu kwa tuhuma ya kuipa tenda ya kufua umeme na kuiuzia Tanesco kampuni ya richmond ambayo haikuwa na sifa
[/TD]

[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] Kugombea urais
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] Hajawahi kugombea labda hii itakuwa ni mala ya kwanza
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] Aligombea mwaka 1995 jina lilikatwa kwa kukosa sifa
[/TD]

[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] Hali ya kugombea urais iliyopo hivi sasa
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] Ameombwa agombee tena ameombwa sana
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] Alianza mda mrefu kuonyesha nia ya kugombea urais, kuna mashaka mengi anahonga, ananunua makundi ili yamuunge mkono
[/TD]

[TD="width: 186, bgcolor: transparent"] Afya
[/TD]
[TD="width: 327, bgcolor: transparent"] Afya yake ni imala sana
[/TD]
[TD="width: 257, bgcolor: transparent"] Afya ni mgogoro mala nyingi huendaUgermani kupima afya, mala kadhaa huwa na kitetemeshi hasa asubuhi, hana uwezo wa kuhimili mikikimukiki kwa mda mrefu
[/TD]
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo wewe ulikuwa unapenda CCM iendelee kutawala nchi hii. Kama ulikuwa hujui hii ndiyo anguko la chama hiki, kama lile anguko la mnala wa Babeli. Hv
 
uchambuzi yakinifu, big up japo simkubali hata mmoja hapo
 
Watanzania ndo wanayemtaka Lowassa sio mimi au wewe bali umma ndo umeonyesha shauku yao kwa EL ndio mchapakazi mahiri na maamuzi sahihi hili liko wazi kwa wote.Huyo Jaji toka ameanza kazi hana lolote linalomuonyesha kama mchapakazi zaidi ya business as usual
 
Kama CCM kinataka kiwe chama cha upinzani basi kifanye mchezo wa kubeba watu
 
CCM wasicheze gambling hapa! Judge Ramadhan is still a junior in politics and not intouch with the common mwananchi. He is a man of the elites wale wasomi. Sio mtu anaeamini kwenye uzalendo kwani nusu ya familia yake yote hiki nje ya nchi wanafanyakazi huko. He can't connect the dots nakukutana na mwananchi wa kawaida.
His candidature would render CCM OFFIALLY AN OPPOSSION PARTY.

TUAMKE WATANZANIA. CHAGUA MTU SAHII MWENYE MAAMUZI. CHAGUA LOWASSA.
 
NSSF DAMU

Ngoja nikuulize swali moja tu, kwani mwaka 1995 wakati CCM walipomteua Mkapa alikuwa na mvuto na watanzania wangapi walikuwa wanamfahamu kama mwanasiasa na mwanadiplomasia mahiri?

Tuwaache hao CCM wacheze hiyo karata yao ya mwisho kabisa, kwa kuwa weshabaini kuwa agenda kuu ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu itakuwa ni ufisadi, kwa hiyo wanajua kuwateua watu wa design ya akina mzee wa mamvi ni sawa sawa na kuamua kukichimbia kaburi chama chao na kuwasafishia njia Ukawa kutwaa madaraka kiulaini kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hili ndo swali ambalo huwa najiuliza kila siku, HIVI SISIEM IKIMKATA EL ITAKUWAJE?

Haiwezi kubaki salama hata kidogo.... Lowassa ana zaidi ya kura millioni 8 mkononi kupitia wale vijana wa 4u na makundi mbalimbali walioenda kumshawishi....
 
Back
Top Bottom