Maamuzi magumu: Nataka kwenda masomoni...

Maamuzi magumu: Nataka kwenda masomoni...

Honest Abe

Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
40
Reaction score
18
Wakuu nawasalimu kwa heshima zote!
Nataka kwenda masomoni, lakini nataka niache ualimu nikasome sheria, ni madhara gani yatanipata katika kutimiza hili?

Nawasilisha

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Kata mti panda mti... Hapo ni kusubiri tu muda wa huo mti utakaopanda kama utatoa matunda au lah
 
Usiache kwanza ualimu, omba ruhusa ukasome huku ukiendelea kuwa mtumishi. Itakusaidia kufanya transition nzuri kwenda kwenye fani mpya unayoenda ukasome. Mambo yakigoma kwenye sheria unarudi kwenye ualimu wako.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
umeajiliwa kwa sasa au ndo wale mnaosubiri ajira mlizinguliwa..... tuanzie hapo kwanza
 
Weka mambo yako sawa ukapige kitabu! utashindwaje sasa nauku ushachukua maamuzi magumu?

au hujui maana ya maamuzi magumu?

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Hayo siyo maamuzi magumu maana ya maamuzi magumu ni kuwa unayachukua mwenyewe sasa hapa unataka ushauri huu siyo maamuzi magumu ? Sorry mkuu kama nimekukwaza.
 
Nenda kasome sheria jamaa angu, kazi usiache lkn. Npm ili nikushauri jinsi ya kupata ruhusa

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
usiache kazi iliyobarikiwa na Mungu toka dunia inaumbwa cha msing ongeza elimu na sio kuacha kaz ukiacha kaz jua kaz kupata kaz

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom