Nadhani mnahitaji maombi maalumu maana hata mkeo kukubaliana na jambo kama hilo ni kinyume na taratibu za hiyo ndoa mliyofunga.Mi na mke wangu tuliamua tusile tunda la hedeni mwaka mzima wala usione vitu vya mwenzako. Kila mtu avumilie mpaka mwaka uiishe. Sasa mwezi umepita nahisi kama miaka 2, uzalendo unanishida. Hii ahadi ngumu sana. Hivi inawezekana kweli kuvumilia mwaka mzima kwa lengo la kuboresha penzi!!.
Mi na mke wangu tuliamua tusile tunda la hedeni mwaka mzima wala usione vitu vya mwenzako. Kila mtu avumilie mpaka mwaka uiishe. Sasa mwezi umepita nahisi kama miaka 2, uzalendo unanishida. Hii ahadi ngumu sana. Hivi inawezekana kweli kuvumilia mwaka mzima kwa lengo la kuboresha penzi!!.
Duh wakati unakubaliana nae ulishajaribu kukaa mwaka mzima bila kula
Na huyo mkeo so mtakuwa mnalala vyumba tofauti au the same room
na kukubaliana kwenu nini kilisababisha mfikie huko je kuna magonjwa ya zinaa au ni matatizo gani hayo
na je hamuoni kuwa mnavunja kiapo chenu cha ndoa
That is possible only kama mgekuwa far apart. Mmoja yuko safarini. Lakini mnaonana kila siku.
Utatupa feed back.
Ila nimewaelewa mlikuwa mnatafuta kumisiana. Lol.
Hakuna hayo. Lengo ni kuboresha tu, yaani tusichokane. Lingine ni uwezo wa kuvumilia bila kufanya tendo kwa muda mrefu, kwa mana kwamba ikitokea siku mmoja wetu akiwa mbali na mwenzie labda kikazi au kimasomo, basi awe na uzoefu wa kuvumilia. lakini jingine tena ni kushindana, nani kati yetu anaweza kuvumilia zaidi.
Mi na mke wangu tuliamua tusile tunda la hedeni mwaka mzima wala usione vitu vya mwenzako. Kila mtu avumilie mpaka mwaka uiishe. Sasa mwezi umepita nahisi kama miaka 2, uzalendo unanishida. Hii ahadi ngumu sana. Hivi inawezekana kweli kuvumilia mwaka mzima kwa lengo la kuboresha penzi!!.
Kisa na mkasa cha kujiwekea masharti ya kutonanihii kwa mwaka mzima ni kipi? Mnastahili mkachunguzwe akili zenu maana maamuzi yenu si ya kawaida kabisa kwa watu waliomo waliomo ndani ya ndoa.