Maambukizi ya vvu na dalili zake.

MNYISANZU

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
7,048
1,102
Hey jf doctors kuna uhusiano gani kati ya kuonesha dalili za vvu na kupima ukaonekana hauna maambukizi! Inakuaje hii doctors
 
Dalili gani unazoongelea?! Ukizitaja hapa itakuwa rahisi kujua...maana si VVU peke yao wanaosababisha upungufu wa kinga mwilini (UKIMWI)!
 
Kama mafua lakini uta anza kuumwa sana mwili na baadae upatapo homa au mafua yatachukuwa muda mrefu kupona.

Si vibaya kujipima status kama ni mwenda ovyo. Hii ni kwa faida yako na wale uwapendao.

Tumia kinga. Good luck.
 
Asante Doctors :nimefunguka dalil hzo ni kidonda mdomoni na vichache kwenye ulimi but i get confused kwa sababu dalili hz zimejitokaza almost two month lakini nimepima nipo pouwa je inawezekana ukaonesha dalili alafu uwe Negative
 
mkuu mbona unajishkutia sana, inawezekana ni ugonjwa wa kawaida... kuna jamaa yangu alikuwa na fangasi wa mdomo, alikuwa na vidonda mdomoni, ni bora ukapime vidonda ivyo pia
 
Back
Top Bottom