katika ndoa......yaani kati yenu nyie mtu mbili.........peke yenu ndio mnaweza kuyamaliza matatizo na migogoro yenu pasina shaka........mmoja wenu akianza kupeleka nje kwa namna ya kushtaki, kutafuta huruma au kujipendekeza........hapo hakuna ndoa..ni anaongeza mgogoro.......only 2 peoples....wife & husband......wa 3 iblisi nakwambia...........hakuna kupigana wala kuchuniana.......mkiona hakika mmeshindwa..........kanza anzeni kujiuliza mlipoanza kudate...........kitu kikubwa mkeo awe ni your best friend......rafikiyo mkuu.....safari yenu itakuwa nzuri.....
Mkuu ndoa ni taasisi ngumu na nzito Sana, ndani ya ndoa Kuna mengi sana yanatokea kiasi mengine ukiambiwa unaweza baki mdogo wazi.....unaweza usiombe ushauri lkn ikabaki kuwa limetokea na ni choice yako wewe sasa kuishi nalo au vinginevyo. Ndoa za siku hz zinamb mengi ya ajabu sana mkuu.Yaani kuchepuka nalo ni kosa katika makosa ambayo anategemewa Mke ayafanye siku hizi?
Na la kuomba ushauri?
Unatakiwa uwe matured enough ili uweze kudumu au kuhimili mikikimikiki ya ndoa, huyo ndugu yako kuachana baada ya meiezi 6 huwenda Kuna sababu lukuki zimepelekea hy Hali ikiwemo kubwa kumuoa mtu asiemjua vyema.Mkuu mm nipo nje ya mada kidogo na sijaowa, ila mwaka Jana mwez wa 12 nilienda kwenye ndoa ya ndugu yangu, cha kushangaza juzi nikapokea taarifa kuwa yule ndugu tayari alishaachana na mke wake tena wameshaachana siku nyingi[emoji3] nilishangaa sana nikihesabu ile ndoa haijafika hata miez 6.
Lakin pia hili suala la ndoa nyingi kuvunjika kadri miaka inavyozid kwenda ndo linazidi kukuwa , wanawake wengi nikipitia huko insta, Twitter maneno wanayolishana ni ya kuzikaanga ndoa zao wenyewe kwa wenyewe.
Wasanii wengi ni kiki Tu na kuzusha jamboMkuu ndoa ni taasisi ngumu na nzito Sana, ndani ya ndoa Kuna mengi sana yanatokea kiasi mengine ukiambiwa unaweza baki mdogo wazi.....unaweza usiombe ushauri lkn ikabaki kuwa limetokea na ni choice yako wewe sasa kuishi nalo au vinginevyo. Ndoa za siku hz zinamb mengi ya ajabu sana mkuu.
Kama umeskia, hv karibuni Kuna msanii wa kuitwa Stamina, amemsamehe mke wake, pmj na kulalamika kusalitiwa na huyo mke wake, kiasj akatunga mpk verse khs usaliti huo. Ila Cha ajabu leo wameyajenga na inasemekana wamerudiana.
Tatizo ni mwanamke kukuvuruga au ni wewe kukubali kuchezeshwa ngoma?me Ed Kawiche sijaoa ila kuna matatizo makubwa yanayofanywa na hawa viumbe (ke) hata kusalitiwa linaweza kuwa tatizo dogo sana! huwa wanaivuruga saikologia ya mwanaume kwa kiwango kikubwa sana.
kwa kawaida mwanamke anaongozwa external foce, matatizo mengi anayoyasababisha chanzo huwa marafiki, ndugu na wengne wanaofanana na hao. inshu ni mwanaume kupambana na hyo external forces ni ngumu kwa sababu (ke) akiamini jambo lolote nje atalishikilia hilohilo mpaka yamkute ndyo ataanza kujirudi mwenyew na kuanza kutubu.
Mkuu ni kweli wasanii wetu wanapenda Sana mmb ya kiki, na pengine hili ikawa ni moja wapo. Ila tukirudi katika maisha ya kawaida ya wanandoa ukweli utabaki kuwa ni kweli kuna wanaosamehe baada ya mke kuchepuka, na sy mmj Ila hii itabaki kuwa Siri ya chumba. Na hapo ndipo inapokuja suala la namna gani kila watu tofautitofati hutatua changamoto za kindoa. Na siku zote ndoa inayopitia changamoto nyingi ndy inayodumu sana.Wasanii wengi ni kiki Tu na kuzusha jambo
Mwanamke akusaliti halafu wewe uombe msamaha mrudiane?Ina make sense?
Wewe unaishi ndoa za kale za mabibiMsingi mkuu wa yote hayo ni kosa la kuchagua mke. Kuna mahali nilisema mke wa ndoa anapaswa kutambua kuwa ndoa sio uwekezaji wa 50/50. Ili ndoa idumu ni LAZIMA kuwe na clear line kati ya mke na mume, kwamba ni nani mwenye ndoa!!
Sasa kwa ndoa za kisasa ambapo mwanamke na mwanamke wana hisa sawa mwenye ndoa, inahitaji mke mwenye busara na malezi bora mno. Wengi wanaingia wakiwa na mtazamo wa kiuanaharakati ndani ya ndoa ndio products za kina Kiria hizo.
Nikisema mume awe mume namaanisha kwamba mke anatakiwa atambue wazi kuwa maisha yake yanategemea ndoa, kwamba bila ndoa basi dunia kwake ni chungu. Kama ukioa mke ambaye ana mtazamo wa kuwa ukiona sifai nirudishe kwetu, basi jua hukupata mke bali mwanamke. Siku hizi kuna ujinga fulani umetamalaki, kwenye send off ni kawaida kusikia wazazi wa mwanamke wakisema binti huyu hajafukuzwa kwao, hivyo ukiona kakushinda mrudishe kwa amani. Ukisikia kauli kama hiyo jua mwwnamke huyo atabaki na connection na watu wa kwao na atakusumbua kweli.
Nikija kwenyebswali lako, mke akuleta hayo wala hakuna haja ya kuita vikao, MWONYE. Wewe ni mume, umetoa mahali kujenga mji wako sio wenu. Akikusikia umepata mke, la hajakusikia basi jua iko sauti anayoisikiliza huko nje, yaweza kuwa kidume au mashoti zake. Hapo sasa kama atakuwa anarudia na kuleta dharau na kiburi KUWA MWANAMUME. Mrudishe kwao akapumzike kwanza, hilo litamshitua mno kama no mke anayestahili ndoa, tena hawezi kucheza na mambo yako ya msingi.
Mwanamke ukimruhusu akudharau basi jiandae kwa maumivu makubwa zaidi. Lazima ajue kuna mahali umechora mstari na kwamba hatothubutu kuuvuka. Akishajua hilo atakyheshimu na ataogopa kukuletea ujinga. Lakini kunbuka wewe pia unapaswa kuwa mume mwenye kujitambua.
Umemaliza kila kitu mkuu!Msingi mkuu wa yote hayo ni kosa la kuchagua mke. Kuna mahali nilisema mke wa ndoa anapaswa kutambua kuwa ndoa sio uwekezaji wa 50/50. Ili ndoa idumu ni LAZIMA kuwe na clear line kati ya mke na mume, kwamba ni nani mwenye ndoa!!
Sasa kwa ndoa za kisasa ambapo mwanamke na mwanamke wana hisa sawa mwenye ndoa, inahitaji mke mwenye busara na malezi bora mno. Wengi wanaingia wakiwa na mtazamo wa kiuanaharakati ndani ya ndoa ndio products za kina Kiria hizo.
Nikisema mume awe mume namaanisha kwamba mke anatakiwa atambue wazi kuwa maisha yake yanategemea ndoa, kwamba bila ndoa basi dunia kwake ni chungu. Kama ukioa mke ambaye ana mtazamo wa kuwa ukiona sifai nirudishe kwetu, basi jua hukupata mke bali mwanamke. Siku hizi kuna ujinga fulani umetamalaki, kwenye send off ni kawaida kusikia wazazi wa mwanamke wakisema binti huyu hajafukuzwa kwao, hivyo ukiona kakushinda mrudishe kwa amani. Ukisikia kauli kama hiyo jua mwwnamke huyo atabaki na connection na watu wa kwao na atakusumbua kweli.
Nikija kwenyebswali lako, mke akuleta hayo wala hakuna haja ya kuita vikao, MWONYE. Wewe ni mume, umetoa mahali kujenga mji wako sio wenu. Akikusikia umepata mke, la hajakusikia basi jua iko sauti anayoisikiliza huko nje, yaweza kuwa kidume au mashoti zake. Hapo sasa kama atakuwa anarudia na kuleta dharau na kiburi KUWA MWANAMUME. Mrudishe kwao akapumzike kwanza, hilo litamshitua mno kama no mke anayestahili ndoa, tena hawezi kucheza na mambo yako ya msingi.
Mwanamke ukimruhusu akudharau basi jiandae kwa maumivu makubwa zaidi. Lazima ajue kuna mahali umechora mstari na kwamba hatothubutu kuuvuka. Akishajua hilo atakyheshimu na ataogopa kukuletea ujinga. Lakini kunbuka wewe pia unapaswa kuwa mume mwenye kujitambua.
Wewe unaishi ndoa za kale za mabibi
Na unapomkataza mwanamke aache kufanya kitu fulani lazima utoe sababu za msingi na madhara ambayo yatasababishwa na yeye kufanya hicho kitu unachomkataza. Siyo unaamua tu kumkataza eti kwa sababu wewe ni mwanaume huo sasa ndiyo uonevu wenyewe.Hapana me naona yuko sahihi, ili ndoa iweze kuwa na ustawi lazima kusiwe na balance, yaani haitakiwi kuwe na 50/50 Kama mdau alivyosema. Lazima mwanaume awe juu, mwanaume mtu wa mwisho kimaamuzi. Hii haimanishi mwanaume ambuluze mwanamke, au amuonee hapana, hapa inakusudiwa kuwa kauli ya mume iwe ya mwisho na iheshimiwe. Haiwezekani me nakwambia supendi nione unafanya kitu fln, eti we kwasababu una uwezo na resources za kufanya unafanya.
Huko ni kutokujiamini ni Nani alisema mwanaume awe juu na mwingine chini bila kuheshimiana hyo haipo eti mwanaume awe juu hata Kama anafanya utopolo, lazima mubadilike ndoa nikusikilizana na kushauriana, Sasa nyie wanaume mnataka muonee wanawake eti ili ndoa idumu kwanini nyie msiwe sehemu hyo mnatolea wababu mfano wakati walikuwa wajinga tu .Hapana me naona yuko sahihi, ili ndoa iweze kuwa na ustawi lazima kusiwe na balance, yaani haitakiwi kuwe na 50/50 Kama mdau alivyosema. Lazima mwanaume awe juu, mwanaume mtu wa mwisho kimaamuzi. Hii haimanishi mwanaume ambuluze mwanamke, au amuonee hapana, hapa inakusudiwa kuwa kauli ya mume iwe ya mwisho na iheshimiwe. Haiwezekani me nakwambia supendi nione unafanya kitu fln, eti we kwasababu una uwezo na resources za kufanya unafanya.