Taja jina la shule , na namba unayotaka uangalie.Samahan jaman msaada naomba mniangalizie matokeo ya shule yenye namba hii S.5019 mi cm yangu inauwezo mdogo ko hayafunguki
Msaada tafadhali
Mkuu naomba kujua ifunda tech school ovarallTaja jina la shule , na namba unayotaka uangalie.
Hii link haisumbui kabisaa.....angalia data connection ya simu yako au bundle kama unalo la kutoshaaMkuu mi cm yang haina uwezo yanasumbua kufunguka naomba nisaidie
FPCT-USHINDI TAJA NAMBA YAKO KIJANA USAIDIWE NINAYO MATOKEO HAPASamahan jaman msaada naomba mniangalizie matokeo ya shule yenye namba hii S.5019 mi cm yangu inauwezo mdogo ko hayafunguki
Msaada tafadhali
uwekewe hapa hapa au nikurushie pm...!!!!Jina la shule ni Fpct ushindi sec namba ya shule S.5019
poa mkuu nakutumia huko PM...Nitumie PM
Tuma namba yko mbn hueleweki mkuu hkohko PMNitumie PM
Matokeo yashatoka sasa kufinguka ndo balaa.Ikifunguka tutakupatia but hawajaweka majina ila namba.Kama vp acha namba yako then tutakutazamia net ikituliaSamahan jaman msaada naomba mniangalizie matokeo ya shule yenye namba hii S.5019 mi cm yangu inauwezo mdogo ko hayafunguki
Msaada tafadhali