Maalum kwako Utafiti

Maalum kwako Utafiti

Nimekuvulia kofia. Mi nahaha kutongozea hapa jukwaani kumbe mwenzangu uko busy PM. Hakyamama we ni mbaya kama mfalme Mswati.

Hahahhahahha ungejua me ata pm sijui unapanda basi la wapi, ivi kwani pm ni maeneo gani???
 
Hahahhahahha ungejua me ata pm sijui unapanda basi la wapi, ivi kwani pm ni maeneo gani???

Hiyo ni kifupisho cha Prime Minister, ukiitumia vizuri michuchu inajua imepata viza ya kuingia Ikulu. Kumbe imeingia kwenye mikono ya Zuma wa bongom utafiti. Hakyamama we ni jasiri kama Lukuvi.
 
Last edited by a moderator:
Mmmh utauweza ufriend ambao upo deep kama kina cha ziwa Tanganyika wewe?

"It takes a real woman to make a man satisfied......."

Hebu kanianzishie thread kule nami kikojoleo changu kitambue kinamilikiwa na rijali.
 
Hiyo ni kifupisho cha Prime Minister, ukiitumia vizuri michuchu inajua imepata viza ya kuingia Ikulu. Kumbe imeingia kwenye mikono ya Zuma wa bongom utafiti. Hakyamama we ni jasiri kama Lukuvi.

Sijawahi kufika huo mtaa mkuu, labda unielekeze
 
Last edited by a moderator:
kweli kabisa jiandae nami naweka hisia zangu juu yako soon

Hahahaaaaaa miss neddy!Kuna jamaa mmoja alienda ukweni sasa kumbe njiani siafu waliingia ikulu,sasa jamaa yuko ukweni,siafu wanang'ata ikulu,akaogopa kusema,ahaaa wakwe walistukia kitu kinaanguka chini na jamaa damu kibao!Chezea siafu wewe!Haya endelea kukaa kimya!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom