Maalum kwa wanaohitaji kusafiri: Aina ya usafiri, bei za nauli, tahadhari za kuchukua

Basi gani nzuri ina ruti ya moja kwa moja hadi
Nairobi Kenya ?
Na nauli yake ikoje
kwa sasa ?
 
Kuna haya magari sijayaona.


#1. Marangu Express

#2. Ester Luxury

#3. Kapricon

#4. Sahara

#5. Freys

#6. Msawa Express

#7. Kvc

#8. Moshi Luxury

#9. Shabco.

#10. Raqeeb

#11. Ngomuo.

#12.


falcon mombasa

#6. Mvungi
 
Kwa iyo, kwa idadi ya maesabu ya magari iliyopo apo kuna magari kama 12,500. Duh hii biashara kuna kampuni nyingi sana katika soko. Apa ubungo kwa siku kuna gari kama 1,250 zinazotoka na kuingia apa Ubungo
 
Siku izi Abood anaenda Mwanza.
Alafu izi Gari za kwenda kusini, hazifiki ubungo au? Au kuna baadhi zinafikaa
 
Nina mpango wa kusafiri kuelekea Kahama, je ni basi gani lilio ractiory katika makampuni ya mabasi yanayoenda huko.
 
aksante.. nimekosea kuandika kwa sabab nipo kwenye daladala naenda kukata ticket
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom