Ambassador
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 933
- 77
Teh teh teh! Nawasubiri tu. Hiyo kozi muhimu, itabidi tuongeze kwenye curriculum.Ngoja waje hapa usikimbie ukipewa majibu!
Lakini hata hivyo umesahau KOZI moja, nayo ni:
21.Kuendesha fikao fya mazishi kwenye Bar(wiki 1)!
Chuo maalum kwa ajili ya vijana wa kichagga kimefunguliwa hapa Kiborloni, Moshi. Kinatoa kozi zifuatazo:
1. Ulevi - Mwezi mmoja
2. Ujambazi - Miezi sita
3. Kuchoma mtu kisu - Wiki moja
4. Kuchoma nyama kwenye baa - Miezi miwili
5. Kung'arisha viatu - Wiki tatu (maalum kwa vijana wa Rombo)
6. Kuuza duka - Miezi mitatu; (hardware)
7. Kurekebisha mipaka ya kiwanja cha jirani - Miezi minne
8. Kupata mume msomi na mwenye wadhifa mkubwa - Miaka miwili
9. Kufuga ng'ombe - Mwaka mmoja
10. Kutengeneza saa na simu - Miezi miwili (maalum kwa vijana wa uru)
11. Kuuza bucha - Wiki moja.(maalum vijana wa kibosho)
12. Kuendesha pick-up - Miezi minne (stout)
13. Kugombea udiwani - Miaka miwili
14. Kuendesha pikipiki za bodaboda na bajaji - Wiki sita
15. Kuchakachua mafuta - Mwaka mmoja
16. Kupata kazi TRA - Miezi mitatu
17. Kukwepa kodi - Wiki nane
18. Kununua mashamba - Mwezi mmoja
19. Kuoa wake wengi - Wiki mbili
20. Kukatisha tiketi kwenye magari ya Moshi, Dar na Arusha ni bure
Watakaojiandikisha mapema watafundishwa bila malipo, jinsi ya kuishi eneo la Kimara, Dar es salaam.

hebu nielekeze chuo kiko maeneo gani....ni hapo karibu na Onyonya Ukunonze au kule juu karibu na kwa Malisa?.....au ni maeneo ya Msaranga?....info pls