Maalum kwa akina dada tu

Maalum kwa akina dada tu

luckman

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Posts
1,211
Reaction score
373
Jamani naomba msaada, nipo kwenye process za kukamilisha mpango wa wangu wa maisha, nataka kumuipress zaidi na kweli nampenda sana kutoka moyoni mwangu! lakini je, nini nifanye ajue kweli nampenda?gift gani nimpelekee, au nini zaidi nifanye ajue kuwa ni kweli nimedhamiria!

tafadhari msaada tutani!
 
mpeleke saloon, mkitoka hapo mpeleke boutique la ukwee then shopping zingine MLIMANI CITY mmalizie NEW AFRICA HOTEL au DAR SERENA HOTEL au JB BELMOUNT HOTEL kwa raha zenu hapo atajua unampenda kweli ni hayo tu.
 
are you serious!!!!!!
mheshimu, jiheshimu, mpende, na mnunulie zawadi yoyote tu, sio lazima yenye thamani sana

Zaidi muombe Mungu atakusaidia kama ni mwenyewe ataonyesha nia na ataelewa kama unaanisha future zaidi
 
Muonyeshe unampenda wastani na si kupita kiasi vituko atakachokufanyia utajuta maishani mwako.Zawadi pekee unayoweza kumpatia ni uaminifu juu yake na upendo wa kweli.Mengineyo ni nyongeza tu katika maisha .Usijaribu kumuonyesha maisha ya kisanii kama bongo movie .Kwani maisha ya ndoa ni dhamana kubwa na yanataka utayari .
 
Be there fo her alwaz ni zawad tosha n everlasting one
 
Jamani naomba msaada, nipo kwenye process za kukamilisha mpango wa wangu wa maisha, nataka kumuipress zaidi na kweli nampenda sana kutoka moyoni mwangu! lakini je, nini nifanye ajue kweli nampenda?gift gani nimpelekee, au nini zaidi nifanye ajue kuwa ni kweli nimedhamiria!

tafadhari msaada tutani!
Luckman, you are not Lucky ever since you said ni kwa wanawake tu, kwa hiyo akina baba wote humu JF hawana mchango wowoteKuhusu hili? Ndio maana mkuu Nitonye "akajibu wewe bure kabisa" kwani umeonesha dharau ya hali ya juu mno.
 
hahahahahah Asnam hujambo shosti???
mpeleke saloon, mkitoka hapo mpeleke boutique la ukwee then shopping zingine MLIMANI CITY mmalizie NEW AFRICA HOTEL au DAR SERENA HOTEL au JB BELMOUNT HOTEL kwa raha zenu hapo atajua unampenda kweli ni hayo tu.
 
Last edited by a moderator:
hahahahah mkuu Thanda hasira za nn?? jamaa kauliza wakina dada kwani ndo wahusika..so alitaka kupata maoni yetu kuwa tunataka nn!!! ninyi huwa mna-assume wanawake wanataka nn na hapo ndo huwa mnaenda chaka...he is asking the right persons so far
Luckman, you are not Lucky ever since you said ni kwa wanawake tu, kwa hiyo akina baba wote humu JF hawana mchango wowoteKuhusu hili? Ndio maana mkuu Nitonye "akajibu wewe bure kabisa" kwani umeonesha dharau ya hali ya juu mno.
 
Last edited by a moderator:
Analo gari la kutembelea??
Kama vipi mtafutie aud au bmw X5.
Kisha mnunulie kisiwa,ukimaliza hapo mambo ya fastjet yanahusika.mnunulie kajet kamoja tu.
Watu wengine bwana sisi tunajua uwezo wako mpaka tukupangie zawadi ukikosa vyote nlivyokutajia mnunulie shanga ziwasaidie
 
angalia wasijekusaidia,,, maana mapenzi yanatofautiana kile msichana moja anafurahi si lazima na hyo wako afurahie
wewe umekaa nae unamjua kuliko sisi"
kuna vitu basic, waweza mfanyia suprise ya vitu zile unajua anapenda
waweza mtoa auti kama anapenda kama lah usijaribu
unaweza mwandalia small part suprise ila awe mtu anapenda kupart
la msingi jua anapendelea nini ndo umfanyie hakuna formula ati ukimfanyia kitu hiki
au research yenye imefanyika yenye inaonesha ukifanya vitu fulani atajua unampenda
oll the best
 
hahahahah mkuu Thanda hasira za nn?? jamaa kauliza wakina dada kwani ndo wahusika..so alitaka kupata maoni yetu kuwa tunataka nn!!! ninyi huwa mna-assume wanawake wanataka nn na hapo ndo huwa mnaenda chaka...he is asking the right persons so far
Haya Ciello inabidi nikuelewe japo kwa shingo upande.
 
Mkuu Bondpost, acha niwaachie uwanja wao. Ciello ni rafiki yangu ila kwenye hili kanigeuka.
Kawa mkali hataki hata kuniona....nimeogopa kumuuliza zaidi kwani majibu yangekuwa"hii ni kitchen Party" haikuhusu.
Chezea wanawake wewe! ! Wana midomo mitano.
 
Mkuu usije ukasahaau kurudi kutuambia mtakapokuwa mmeshalikoroga na mnataka msaada! Maana ni kawaida!
 
Back
Top Bottom