Ni kweli shein kaweka historia Pemba, si Pemba tu hata Unguja aliweka historia pale walipoujaza uwanja kwa watu walioletwa na maboti kutoka Tanganyika.
Wale wale waliokuwa katika ufunguzi pale kibandamaiti ndio wale wale waliohuzuria kiwanja cha gombani ya kale.
CCM ILE ILE, SERA ZILE ZILE, WASIKILIZAJI WALE WALE, na MATUSI YALE YALE.
TUNASEMA MARA HII MTARIMBO UMEWAGANDA.