Maalim Sharif Seif Hamad "No comment"

Ndio Raisi anavyopaswa kuwa. Akisha kuwa Raisi wa watu wote pia ni muhimu na kuheshimu dini zote.
 
naona leo Mr Chin kaamua kuweka silaha chini ameona kua moto wa huyu jamaa ni hatari..

Huyu ndio raisi wa zanzibar SAWASAWA
 
Last edited by a moderator:
Ni swala la muda tutajuwa mbichi zipi na mbivu zipi. Ila nilazima tujiandae kisaikolojia Rais anaandaliwa pia vyombo vya serikal za juu vina muidhinisha.
 
Sawasawa! Huyu ndio rais wa nchi pendwa ya Zanzibar. Kwa Seif naiona Zanzibar huru yenye mamlaka kamili sio hii ya wakoloni weusi wa Tanganyika
 
Rais wa jamuhuri ya watu wa Zanzibar huyo
 
vipi alikuwa ana apishwa ...??


[QUOT

E=Mr Chin;14642229]
[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…