komredi ngosha
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 382
- 71
Ingawa Kikwete kashikilia kuwa Muungano ni kitu cha maana, lakini huu Muungano wa Nyerere na Karume mimi naona hauna faida kwa pande zote hizi mbili. Wauvunje tu waanze upya kama EAC. Kila mmoja atamuheshimu mwenzake.
Hivi kuna nini zaidi kwenye huu Muungano?
Kuna mmoja anaweza kunipa faida zake?
tangu nimekufahamu leo ndio ume post kwa kutumia akili na bila ushabiki wa kijinga. Nadhani kuanzia 2012 nitarajie mabadiliko makubwa kutoka kwako