Maalim Seif: Zanzibar iwe na Benki Kuu yake

Maalim Seif: Zanzibar iwe na Benki Kuu yake

Wazanzibar wanautaka sana huu muungano kwani una manufaa sana kwao kuliko watanganyika ...ila wanasahau kwamba ukitaka kula lazima na wewe ukubali kuliwa...
 
naonga mkono hoja. acha wadai bank yao halafu baadae waanze kudai salafu yao. bendera, wimbo wa taifa na kubadilisha katiba inayo tambua zanzibar kama nchi vimekamilika. bado vitu vichache tu wajitangazie uhuru wao wa kweli. go on ZANZIBAR goo.. Mia
 
Wazanzibar wanautaka sana huu muungano kwani una manufaa sana kwao kuliko watanganyika ...ila wanasahau kwamba ukitaka kula lazima na wewe ukubali kuliwa...

mimi binafsi yangu nafikiri mawazo yako, ambayo by the way ni mawazo ya watu wengi wa mainland hayana ukweli wowote - ukweli unabaki kuwa muungano as it was intended in 1964 can no longer stay on foot without prosthesis sasa nani anapata faida kuliko mwingine i think it's barely a captious remark again kwa maoni yangu njia pekee ya kuukoa Muungano ni kukaa pamoja na kujua zipi ni kero za bara na zipi ni kero za zenji then we'll have tofind a common denominator - sorry for punning!

Kuendelea kuwepo kwa CCM, Naamini kwa kuwa CCM ni zao la muungano wa vyama viwili vya Tanganyika na Zanzibar, Muungano ukivunjika tu na CCM kwisha itapidi watafute jina jingine labda CCK AU CCM- Tanganyika.[/QUOTE
Tutarudisha
TANU KWA CCM TANGANYIKA
ASP KWA CCM ZANZIBAR
 
Kero za muungano zinajulikana tatizo ni wanasiasa wa pande zote mbili hawangalii maslahi ya Taifa; lengo kuu ni kulinda maslahi yao binafsi; wananchi wa Tanganyika na Zanzibar wapewe haki ya kuujadili muungano kwa mapana na marefu na wao ndio wawe waamuzi kwenye mambo ya msingi; ni hatari kubwa kwa wanasiasa kuwaamulia wananchi hatima ya muungano hasa kwenye kipindi hiki cha vyama vingi; kuuvunja mmungano si sahihi tumeishi kindugu na ukiangalia dunia nzima hivi sasa nchi nyingi zinajaribu kuungana kisiasa na kiuchumi kwa lengo moja tu kuboresha maisha ya wananchi wao; hivyo ukiangalia sana utaona haitakuwa sahihi kuuvunja muungano kwani watakaoathirika ni wananchi wa kawaida mfano halisi idadi ya wapemba wanaoishi Tanzania bara ni kubwa kuliko idadi ya wapemba wanaoshi Pemba sasa wananchi hao wamekeza mali zao na wengine wamezaliwa barar hata hiyo Pemba hawaijui vizuri sasa je hao wapelekwe wapi?

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
CCM hapo kufa, JEMBE na NYUNDO chali!
 
Mkuu wapemba waliozaliwa bara si tayari ni wabara kwa kuzaliwa?? wapelekwe wapi tena??

Ultimately muungano huu utakuwa wa serikali tatu au hakuna kabisa muungano
 
Kero za muungano zinajulikana tatizo ni wanasiasa wa pande zote mbili hawangalii maslahi ya Taifa; lengo kuu ni kulinda maslahi yao binafsi; wananchi wa Tanganyika na Zanzibar wapewe haki ya kuujadili muungano kwa mapana na marefu na wao ndio wawe waamuzi kwenye mambo ya msingi; ni hatari kubwa kwa wanasiasa kuwaamulia wananchi hatima ya muungano hasa kwenye kipindi hiki cha vyama vingi; kuuvunja mmungano si sahihi tumeishi kindugu na ukiangalia dunia nzima hivi sasa nchi nyingi zinajaribu kuungana kisiasa na kiuchumi kwa lengo moja tu kuboresha maisha ya wananchi wao; hivyo ukiangalia sana utaona haitakuwa sahihi kuuvunja muungano kwani watakaoathirika ni wananchi wa kawaida mfano halisi idadi ya wapemba wanaoishi Tanzania bara ni kubwa kuliko idadi ya wapemba wanaoshi Pemba sasa wananchi hao wamekeza mali zao na wengine wamezaliwa barar hata hiyo Pemba hawaijui vizuri sasa je hao wapelekwe wapi? ChamaGongo la Mboto DSM
Chama, hapa ndipo unafiki wa Seif unapojidhihiri. Yeye amekubali kuwa mchakato wa katiba ambao hautoi nafasi ya muungano kujadiliwa kama alivyosema Kikwete na ameuridhia kama makamu wa Rais.

Akirudi kwenye majukwaa ya siasa anajifanya kama hili jambo halijui. Angetakiwa apinge kwanza mchakato usiotoa nafasi ya mambo ya muungano kujadiliwa halafu aende kwenye majukwaa.

Seif kwa kauli zake amesababisha maafa makubwa kwa kitu ambacho angeweza kukiepuka au basi kukisimamia ili kitoke matokeo yaliyokusudiwa. Matokeo yaliyokusudiwa hayakuwa yeye kupewa ving'ora na mapiki piki bali demokrasia ya kweli na si ya GNU.

Ametoka ikulu baada ya kusikia kuna jitihada za kumwengua katika kiti cha enzi. Hana hoja ya kuwajibu wanachama kwa usaliti alioufanya badala yake anatumbukiza mambo yatakayo badili mada ili kufunikwa dhahma inayomkabili.

Kifo cha CUF ambacho kinatarajiwa wakati wowote ni matokeo ya ubinafsi wa Seif. Kama wapo wanaomsikiliza wakidhani wanamsikiliza kiongozi wa kisiasa basi hao ni matutusa kwasababu Seif hayupo kwa ajili ya Znz, yupo kwa ajili yake na familia yake.
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (Cuf), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema ni muhimu kwa sasa Zanzibar kuwa na benki kuu yake ikiwa inataka kutumia kikamilifu rasilimali zake kujenga uchumi wake.

Hivi makamu mzima wa Rais hayuko informed kiasi hicho? Hajui kinachoendelea kwenye jumuiya ya Afrika mashariki? Jumuiya ya Afrika mashariki iko kwenye mchakato wa kuwa na sarafu moja.Ina maana kutakuwa na benki kuu moja ya Afrika Mashariki itakoayohudumia nchi zote.Hiyo ya kwake ya Zanzibar anayoitaka kuianzisha ataipeleka wapi yarabi? Na wananchi wasiojua kitu wanapiga makofi kushangilia ujinga.Kweli siasa mara ingine ni Mchezo mchafu.Hata Maalim mwalimu Seif naye kajiunga nao?

Kweli sasa namwunga Hammad Rashid agombee ukatibu mkuu wa CUF ampokee mzee mzima Seif maana anaonyesha sasa kachoka.
 
Mkuu wapemba waliozaliwa bara si tayari ni wabara kwa kuzaliwa?? wapelekwe wapi tena??

Ultimately muungano huu utakuwa wa serikali tatu au hakuna kabisa muungano

Labda ni mgeni na Wapemba; hawana desturi ya kujikana, mpemba atakuwa mpemba daima; hata azaliwe sumbawanga atakwambia kwao pemba hilo hatuna jinsi nalo.

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
hivyo ukiangalia sana utaona haitakuwa sahihi kuuvunja muungano kwani watakaoathirika ni wananchi wa kawaida mfano halisi idadi ya wapemba wanaoishi Tanzania bara ni kubwa kuliko idadi ya wapemba wanaoshi Pemba sasa wananchi hao wamekeza mali zao na wengine wamezaliwa barar hata hiyo Pemba hawaijui vizuri sasa je hao wapelekwe wapi? Chama Gongo la Mboto DSM
Watakuwa Watanganyika wenye asili ya Pemba.
 
Dada FF hili ni moja kati ya mabandiko yako yenye ujumbe mzito.

Ingawa Kikwete kashikilia kuwa Muungano ni kitu cha maana, lakini huu Muungano wa Nyerere na Karume mimi naona hauna faida kwa pande zote hizi mbili. Wauvunje tu waanze upya kama EAC. Kila mmoja atamuheshimu mwenzake.

Hivi kuna nini zaidi kwenye huu Muungano?

Kuna mmoja anaweza kunipa faida zake?
 
Wazanzibar wanautaka sana huu muungano kwani una manufaa sana kwao kuliko watanganyika ...ila wanasahau kwamba ukitaka kula lazima na wewe ukubali kuliwa...
gharama kaka, hii mijamaa haitoi hata senti tano kulipia uendeshaji wa serikali ya muungano ila wanafaidi maana raia wao kibao wameajiriwa na hiyo serikali. Mi naona CUF wanavyofanya ni sawa kabisa ili tuondokane na haya mateso ya kuwa na hawa jamaa, tuvunjilie mbali huu muungano tuone wanyonyaji watamnyonya nani tena
 
Umeanza kuwa na akili siku hizi. Shida hapa ni kwamba kundi la viongozi wachache linafaidi privileges za kuwamo kwenye uongozi. Ni ubinafsi tu umewajaa na ndio maana wanaendelea kutupuuza wananchi. Lakini naamini muda ukifika tutarejeshewa Tanganyika yetu pamoja na kuunda muungano thabiti kama nia bado itakuwepo.
Ingawa Kikwete kashikilia kuwa Muungano ni kitu cha maana, lakini huu Muungano wa Nyerere na Karume mimi naona hauna faida kwa pande zote hizi mbili. Wauvunje tu waanze upya kama EAC. Kila mmoja atamuheshimu mwenzake.

Hivi kuna nini zaidi kwenye huu Muungano?

Kuna mmoja anaweza kunipa faida zake?
 
Napata tabu sasa: Hiyo ni Kauli ya CUF kupitia Katibu wake Mkuu au ni Kauli ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Makamo wake wa Kwanza wa Rais?

Kazi ipo sasa sisi Watangayika tunang`an`gania nin i hasa kwenye huu Muungano? Kama Zanzbar wakiwa na Bank Kuu yao na sarafu yao.....tayari wana wimbo wao wa taifa..wana Bendera yao...na sasa wanadai kuwa na balozi zao huko nnje!!!!! Watanganyika tuamke sasa ...!!!!!
 
Siku zote huwa na post humu na kusema hakuna cha maana chochote kutoka kwa Nyerere kwa hii nchi. Hakuna, hakuna, hakuna.

Ikiwa umeweza kuyaona haya muungano basi jaribu kutazama mengine ya Nyerere, utakuta hakuna cha maana hata kimoja, ujamaa ame fail, kutaifisha ame fail, uchumi ame fail, muungano ame fail, mengine kama ya lugha na amani aliyakuta na asijidai mtu humu kuwa kayaleta Nyerere.
Mimi nisingekutana na wewe humu kama sio Mwalimu kuwatoa wazazi wangu huko porini. Nikakamatwa kwa lazima kwenda shule.
 
Nnakubaliana na wewe. Kwmba serikali moja is the best and perfect solution. Lakini ishu ni kwamba it is easy for zanzibari to aggree on 3-gvts than 1-gvt(prove me wrong). They would rather break the union than have one union gvt.
Tuende kwenye win win situation. Wewe unajua watanganyika hawako ok na muumgano huu wa serikali mbili, kwamba tangayika imekufa ilhali zanzibar ipo na ina uwakilishi mkubwa kuliko principles za mathematics with regards to ratios zinavyotaka.
Rafiki wasome vizuri wa zenji ndipo utajua kwamba we have to go our own style, not american or anyone nation's, serkali tatu kama tunataka muungano thatbiti, au tuuvunje tu.
Yaani serikali ya mapinduzi ifutwe! We acha kabisa moto wake.

There are only two choices
either kuifuta ZNz kama ilivyofutwa Tanganyika or to re surrect tanganyika and have three gvts!- la kwanza ni gumu kuliko maelezo(vile mi naona),
wa zenji wakubali kufutwa kwa baraza lao la mapindizi na serikali ya mapinduzi! Ni ngumu kama ccm kukubali tume huru kabisa ya uchaguzi na mchakato huru wa katiba mpya bila rais wa ccm kuhusika.
Think this.

100% no doubt......
 
Napata tabu sasa: Hiyo ni Kauli ya CUF kupitia Katibu wake Mkuu au ni Kauli ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Makamo wake wa Kwanza wa Rais?
Ni kauli ya CUF kupitia Katibu wake Mkuu. Period!!
 
Back
Top Bottom