Maalim Seif Sharifu Hamadi ni mgonjwa

Status
Not open for further replies.
Mkuu Mwiba Maalim Seif ni maarufu Zanzibar tu huku bara tunamwona kama mwanasiasa mpenda madaraka na siasa za utengano baina ya Tanzania bara na Zanzibar kaziasisi Maalim Seif kupitia chama chake cha CUF na kikundi chake cha kigaidi Uamusho.

Laana ya kuchoma makanisa na vibanda vya biashara vya watu wa Tanzania bara inamtafuna.

Hapana sio la Muungano ,ni mwanasiasa mashuhuri katika siasa za Tanzania na East Africa ,na pia naweza kusema ni mdau wa harakati za ukombozi hapa Tanzania dhini ya ukoloni mweusi.
 
cha ajabu hapa ni ukimya uliopo, kama Pinda kwenda check up tunaambiwa, kwani yeye kimya kimya?
Sometimes baba akifukuzwa kazi huwezi kuwafahamisha watoto wote,ni kwa usalama zaidi na kuepuka maswali mengi hasa kama hakuna majibu ya maswali.
 
​mungu analipa mnafiki hapa duniani
 
Umenena mkuu.
Maalim Sefu ndiye muasisi wa mfarakano ulipo sasa ndani ya Muungano akisaidiwa na Karume.
Hao vile vile ndo waasisi wa Uamsho Zanzibar.
Kitendo cha kuchoma nyumba za ibada huko Zanzibar kama wana husika basi dhambi hiyo itawatesa hadi watubu hadharani.
Kama binadamu tumamtakia kila la heri na mgogoro wake wa afya lakini Watanganyika hawatasikitika kumwona akitoweka.
 
usiwasemee watanganyika kama ni ukafiri umekukaa wewe tu.
 
Anaendelea vizuri yuko Hyderabad anatarajia kurudi TZ jumamosi...
 
Hivi kila kiongozi akiumwa lazima iandikwe? Isitoshe hao ni wazenji hawatuhusu mambo yao sie wa bara
 

"waonesha chuki binafsi tu ulizonazo juu ya Maalim Seif. wewe unaona huu uliopo ni mfarakano? kwa taarifa yako hata wakati marehem Shk Karume alivyouwawa hakuwa akiongea na Nyerere (LAllah) kisa ni huu huu muungano. Jumbe alifukuzwa Urais wa Znz kisa huu huu muungano, humtendei haki kusema Maalim ndie muasisi wa "mfarakano"! Watanganyika msisikitike mkimuona kaondoka, hata sisi hatukusikitika alivyoondoka Nyerere (LAllah) .... kila mmoja na uoni wake" ........ Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, KWANZA!"
 

Ugonjwa ni suala binafsi!!
 
Tujulishe vizuri maanake uoga umetujaa!! wapiganaji wetu wakiumwa. Ukiona nyasi unaona nyoka baada ya kuumwa na nyoka aka TISS!!
 
Mkuu uwe mkweli katika nafsi yako.
Maalim amehusika kikamilifu katika kila sokomoko la muungao isipokuwa la marehemi Karume.

Kuanguka na kuondolewa urais Jumbe , Maalim alihusika moja kwa moja kwa malengo anayoyaelewa.

Kanzu anayovaa Maalim hakuna asiyeifahamu
 
Nafikiri kuna ukosefu wa ubinaadamu kwa baadhi ya watu humu JF ,na hii inatokana kwa watu hao kujiona wao ni wenye kumiliki uhai.

Mtu ni mgonjwa hata angekuwa binadamu kutoka chama kingine basi sio jambo jema kusema au kutoa maoni machafu ,kama ni mstaarabu ni bora ukakaa kimya.

Hata hao viongozi wenu ,bila ya shaka yeyote ile wanampa maalim Seif Heshima yake ,iwe wewe mburu matari wa humu JF unaeandika ufedhuli ,nielewavyo heshima ni kitu cha bure.

Hapo vilipofikia vyama vingine vya upinzani kusema na kutoa sauti basi yote stage hiyo ilitokana na Maalim Seifu ,hebu ichunguze siasa ya Tanzania na chunguza mikutano yote ,utaona ni mikutano gani ambayo ilikuwa ikihutubiwa kwa ukali wa kupambana na serikali, tokea uwepo wa vyama vingi. Ushujaa huo ndio ambao leo hii ,wengine wamekuwa na kauli za kuishutumu serikali kwenye majukwaa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…